FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Fermin lopez namkubali sana huyu bwana mdogo, had a bright future under Xavi Hernandez lakini Flick kamwondolea confidence kabisa yani though kila anapopewa play time huonyesha how good he is.
 
Thanks to injuries from Dani olmo and Marc Carsado, pablo gavi gets more minutes, taratibu anatukumbusha kwamba hakuwa golden boy kwa bahati, same applies kwa fermin.
 
Yani Hawa Girona msimu uliopita walikuwa wa moto kweli, lakini msimu huu wanacheza kwa kuviziavizia tu, wanajaa sana kwenye goli lao. Lakini kwakua tumeshawafunga goli moja watajifanya wanapanda kuja kushambulia hapo ndipo tutakapotoa kichapo heavy.
 
Blaugranista wenzangu leo tuna kipengele na simeone semi final copa del ley.
 
Mechi ya Moto hii balaa, Mimi natumia DSTV hii michuano hawaonyeshi,. Wenzangu mnaangalizia wapi?
Ingia hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…