Natoa pongezi kwa ushindi wa leo dhidi ya Athletic Bilbao wa maholi 2-1.
Mmeanza msimu vizuri. Na vijana ni wadogo sana ila kazininafanyika. Naiona Barca ikifanya vizuri kwa badget hii ndogo.
Again hongereni sana.

Tunapokea pongezi zako mkuu. Ni wapinzani wachache wenye macho mazuri ya kimpira wanaoweza kuona potential ya project yetu. It's just a matter of time, tutaitawala ulaya kwa muda mrefu sana!