United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
dortmund kaongeza tena chuma nyingine mshamba weWewe ni muongo
dortmund kaongeza tena chuma nyingine mshamba weWewe ni muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pigaaaa mbusiiiiNapenda sana Barca tunavyochuliwa Underdog.This is Champions league brother,Knockout games sio league.Huku form ya kwenye league weka kapuni.Bayern unaemuona mbovu bundesliga kisa now anaongoza Leverkusen ,basi ukamchukulia poa!,huku ni experience ,mentality na moments.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uyo refa ana waua leo mamaye
Knockout hio kwioo!Napenda sana Barca tunavyochuliwa Underdog.This is Champions league brother,Knockout games sio league.Huku form ya kwenye league weka kapuni.Bayern unaemuona mbovu bundesliga kisa now anaongoza Leverkusen ,basi ukamchukulia poa!,huku ni experience ,mentality na moments.
Mimi toka draw inapangwa nilivyoona tu path yetu kuna Dortmund/Atleti/PSG i saw the possibility to reach the final,Why? quality ya hizi team na team yetu hatuachani sana.Barca watu wanaichukulia poa but believe this team Ina quality ya ku battle na team yoyote Ile ulaya,mtu anaesema Barca ana form mbaya aniambie toka Xavi atangaze kuondoka ,lini imepata worse results/performance?. Game ya PSG still Bado ipo open,but haitakua rahisi kwao kutoboa kwenye atmosphere yetu. Tukimtoa PSG. still Atleti/ Dortmund sio threat kwetu.Simeone tu kashapigwa san na Xavi,so nafasi kubwa tu tunayo.
Nakumbuka hii game kuna jamaa tulibishana mpaka koo likanikauka namuelewesha mmebebwa haelewi leo zamu yao..Nakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani
Una hali gani huko ulipo? [emoji1787][emoji1787]Hii game tupambane tushinde.
Hawa PSG wameshaelekea kibla.
Barca alishinda 6-1 aiseeNakumbuka barca vs psg refa alikuwa man of the match wakasherekea msimu fulani wa UCL. Leo refa kawa man of the match tena wanalia. Kisasi ni hapa hapa duniani