Hello barca fans!,dah jukwaa limepoa kichizi hili shida nini!.Naona leo Barca tunaweza kutwaa La Liga title tukimfunga espanyol( Ni derby hii).Ni muda sasa toka 2019.La Liga title ,super cup zinatosha kwa msimu wa kwanza wa Xavi Kama kocha .Hope next season tutakuwa bora zaidi. Visca Barca
Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;
√ Defensive Midifilder
√Attacking Midfielder
√ Striker
√Right back
Nafasi ya DM( Xavi anamtaka Zubimendi au Kimmich( Dili ngumu sana hizi) ngoja tusubiri.)
Attacking Midfielder( Xavi anamtaka Gundogan for free( Uamuzi upo kwa Gundo mwenyewe)
Striker ( inasemekana dogo kutoka palmeiras Vitor roque).