Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou

Bayern ipi unaiongelea hii hii bayern ya akina Leroy sane, sadio mane na akina Musila. Emu ngoja wajerumani waje hapo camp nou kuwapaka kilainishi mwende futuhi.