Dah ad sasa nahesabu kenchi apa usingizi hauji. Yani Barcelona kimeo Yanga nayo kimeo. Hivi Catalunya vipi Yani pamoja na kipigo hamuandamani uko? Kila siku tunakula 4,4 leo 8. Inabidi tuanzishe maandamano mtandaoni viongozi wajiuzulu watuletee viongozi wazuri wasajili upya.