mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,697 Reaction score 9,051 Aug 14, 2020 #31,361 First leg (1st half) 4-1 Second leg (2nd half) 4-1 Total 8-2 hongereni kwa kichapo heavy
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,516 Reaction score 5,418 Aug 14, 2020 #31,362 mtzmweusi said: First leg (1st half) 4-1 Second leg (2nd half) 4-1 Total 8-2 hongereni kwa kichapo heavy Click to expand... Just imagine kungekuwa na home and away mtu angekula ishirini jumla
mtzmweusi said: First leg (1st half) 4-1 Second leg (2nd half) 4-1 Total 8-2 hongereni kwa kichapo heavy Click to expand... Just imagine kungekuwa na home and away mtu angekula ishirini jumla
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 Aug 14, 2020 #31,363 Poleni sana jirani zetu hapo mtaa wa pili
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Aug 14, 2020 #31,364 mwekundu said: Hapa team inabidi ifanyiwe overhauling nimeumia sana Click to expand... Ulitamba lakini kuwa mnashinda.
mwekundu said: Hapa team inabidi ifanyiwe overhauling nimeumia sana Click to expand... Ulitamba lakini kuwa mnashinda.
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,516 Reaction score 5,418 Aug 14, 2020 #31,365 PjMarLu said: Poleni sana jirani zetu hapo mtaa wa pili Click to expand... Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL.
PjMarLu said: Poleni sana jirani zetu hapo mtaa wa pili Click to expand... Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL.
jooohs JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 3,252 Reaction score 12,796 Aug 14, 2020 #31,366 Penaldoooooooooo. Imeisha hiyooo
Z Zarumenda JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 394 Reaction score 519 Aug 15, 2020 #31,367 Murashani GALACTICO said: Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL. Click to expand... Halafu huwa wanapigwa nyinginyingi sijui wanamatatizo gani hawa jamaa
Murashani GALACTICO said: Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL. Click to expand... Halafu huwa wanapigwa nyinginyingi sijui wanamatatizo gani hawa jamaa
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Aug 15, 2020 #31,368 Murashani GALACTICO said: Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL. Click to expand... Uzuri Barcelona anapotolewa huwa ni kichapo cha mbwa mwizi. 2018 alikula 4 mbele ya AS ROMA 2019 akala 4 mbele ya Liverpool 2020 kala 8
Murashani GALACTICO said: Hakuna haja ya kuwapa pole maana kipigo hichi walistahili. Sijui ni mwaka wa ngapi barca havuki hatua ya robo fainali UCL. Click to expand... Uzuri Barcelona anapotolewa huwa ni kichapo cha mbwa mwizi. 2018 alikula 4 mbele ya AS ROMA 2019 akala 4 mbele ya Liverpool 2020 kala 8
triga JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,029 Reaction score 5,712 Aug 15, 2020 #31,369 Leo ndio nimejua kwa nini mkwawa hakutaka kukamatwa na wajerumani
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,213 Reaction score 74,027 Aug 15, 2020 #31,370 Nilijua Bayern atashinda ila siyo kwa idadi hii ya magoli. Unaweza shangaa kwanini Barcelona hawakua wakifanya sub. Ni kwakua hata huko nje hakuna ambaye angeweza kuokoa jahazi. Arsenal tungefungwa idadi hii ya magoli tungeambiwa mabeki wetu hawafundishiki. Poleni.
Nilijua Bayern atashinda ila siyo kwa idadi hii ya magoli. Unaweza shangaa kwanini Barcelona hawakua wakifanya sub. Ni kwakua hata huko nje hakuna ambaye angeweza kuokoa jahazi. Arsenal tungefungwa idadi hii ya magoli tungeambiwa mabeki wetu hawafundishiki. Poleni.
Mwanakulipata JF-Expert Member Joined Jul 17, 2018 Posts 718 Reaction score 1,202 Aug 15, 2020 #31,371 Pale ni kutoa viongozi wote wale wakina bartomero na wajinga wenzake, yaani toka ile siku wanamuuza cotinho kwa mkopo nkajua kabisa hamna watu hap...sitofatilia tena mpira wa barca shezn
Pale ni kutoa viongozi wote wale wakina bartomero na wajinga wenzake, yaani toka ile siku wanamuuza cotinho kwa mkopo nkajua kabisa hamna watu hap...sitofatilia tena mpira wa barca shezn
Z Zarumenda JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 394 Reaction score 519 Aug 15, 2020 #31,372 Hii thread ingefutwa kabisa aseee
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,213 Reaction score 74,027 Aug 15, 2020 #31,373 triga said: Leo ndio nimejua kwa nini mkwawa hakutaka kukamatwa na wajerumani Click to expand... Hahahaha
triga said: Leo ndio nimejua kwa nini mkwawa hakutaka kukamatwa na wajerumani Click to expand... Hahahaha
C Chenchele JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 1,986 Reaction score 2,524 Aug 15, 2020 #31,374 2018: AS Roma 3 2019: Liverpool 4 2020: Bayern 8 Let goal = Y, Y= ( Yn+Y(n-1) )+ 1, 2021: Atalanta 13 deaf drum!!
2018: AS Roma 3 2019: Liverpool 4 2020: Bayern 8 Let goal = Y, Y= ( Yn+Y(n-1) )+ 1, 2021: Atalanta 13 deaf drum!!
Namuhi JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,068 Reaction score 1,103 Aug 15, 2020 #31,375 Na bado mbuzi nyie
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 2,358 Aug 15, 2020 #31,376 triga said: Leo ndio nimejua kwa nini mkwawa hakutaka kukamatwa na wajerumani Click to expand...
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Aug 15, 2020 #31,377 SaaMbovu said: Nimewahi kusema huku timu inategemea vizee tu. Suarez, Messi, Bosquet, Pique. Na vipass vya nyuma ndio ilikuwa advantage ya Munich Click to expand... Ukitoa Messi Baselona hawapati hata goli 1.
SaaMbovu said: Nimewahi kusema huku timu inategemea vizee tu. Suarez, Messi, Bosquet, Pique. Na vipass vya nyuma ndio ilikuwa advantage ya Munich Click to expand... Ukitoa Messi Baselona hawapati hata goli 1.
M makodinda JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 1,540 Reaction score 1,300 Aug 15, 2020 #31,378 Mimi muda wa kuitazama siku hizi sina unauza arthur melo halafu unakaa na wazeee badala ya kuweka vijana pamoja shauri yao na bartemou wao
Mimi muda wa kuitazama siku hizi sina unauza arthur melo halafu unakaa na wazeee badala ya kuweka vijana pamoja shauri yao na bartemou wao
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 Aug 15, 2020 #31,379 Naipenda Bayern Naipenda Barcelona What A Feeling!🥱
Mercenary Army JF-Expert Member Joined Jun 2, 2017 Posts 292 Reaction score 695 Aug 15, 2020 #31,380 Barcelona Lives Matter