Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Keep the spirit up ,tuna kikosi chenye experience na Buyern spaces zao kubwa kule nyuma lazima maji waite mmaaa
Unajua watu wanajua Bayern ni timu ambayo ni kikosi strong sana, hapana, Bayern ya sasa ni ya kawaida kabisa ila ikikutana na timu ipo weak inakupiga nyingi coz wanacheza kwa kushambulia kwa kasi.
Sitaki kuamini leo akina Kimmich na Davies, Alcantara leo watambe. Hiko kitu sio rahisi.
Bado sijaona mids nzuri za Bayern zitakazoweza kuweka uzito wa hali ya juu kwa Barca.
Kuna mda pia nafikiria kule mbele waanze tu Suarez, Griezmann na Dembele, then kati Messi, De Jong na Busquets.