FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wale Wachezaji wa Bayern individual ni mmoja tu atapata namba Barcelona wengine wataanzia benchi,
 
Bayern ni Thiago

Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...

Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji

Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça
 
Huku lewandoski kule gnabry hapa thiago sijui mtaweka wapi sura zenu
Bayern Munich sio wa kuitisha Barcelona, hata Kama msimu huu hatuko vizuri kiivo lkn hakuna sehemu ambayo Bayern anatuzidi hata kidogo tukianzia kiba hadi fowadi, kumbukeni Dembele anarudi, Busquet, akina Vidal leo wamo, we're a complete team in each aspect
 
Huku lewandoski kule gnabry hapa thiago sijui mtaweka wapi sura zenu
Leo Lewandoski na pique, hatoki mtu hapo, kule Messi, Suarez, Griezmani, beki za Bayern zitalala na Viatu leo, bado nje Nina akina Dembele, Ansu Fati, Riqui Puig, wote wakata umeme hawa. (fullbacks zangu jordi Alba na Semedo wote wakata umeme) Bayern labda watuzidi physical strength lkn kwenye speed na creativity tupo juu zaidi yao
 
Mkuu pale kati akiwepo De Jong patakuwa hapafai, Jamaa akipiga 6 anajua saana, ni mwepesi mno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…