Unazungumzia vikombe gani laliga / ucl? Kama lalig kachukua x8 ktka miaka 10 ukiacha msimu huu kama sijakosea.. kama ucl hii sio boxing kushinda inategemea na team kwa ujumla.. ndio maana messi akibanwa akaacha role za striker basi ma striker ndio wanamuangushaUnapimaje productivity?
Mimi binafsi napima productivity kutokana na makombe timu inayopata, na pia kutokana na games muhimu timu inazoshinda.
Mkuu timu ili iwe bora duniani inapaswa kuonyesha huo ubora kwa kunyanyasa timu nyingine bora duniani. Sasa hembu nipe takwimu za Baca wakifanya hivyo.Wewe unavyofikiri ni timu ipi best duniani kwa vigezo vyote ?
Makombe yashakuja sana tu na yataendelea kujaOkay, kama lengo ni ufungaji na assist bila makombe, sawa.
Messi's goal and assist stats for every La Liga seasonNazijua, zinaniambia Messi hana tena uwezo wa kuscore magoli mengi kama alivyokuwa anafanya zamani.
Na mpaka Messi ana retire, UEFA hatakaa aiguse tena.
Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievementUmezungumzia kitu ambacho kuna siku nilitaka kukiandika humu ila nikaishia kusema Messi ni mbinafsi kwa Barca.
Swala la mshahara wa Messi; ni kweli jamaa ni Star wa timu, hakuna yeyote anayeweza kupinga umuhimu wa Messi pale Barca.
Swali linakuja kulinganisha umri, performance na mshahara. Alipokuwa kijana, say 22 to 29 years old, mchango wake kipindi hicho ulileta makombe La Liga, UEFA, Kombe la Mfalme, Kombe la Dunia kwa Vilabu etc. Kipindi hiki alilipwa shilingi ngapi kwa wiki?
Leo hii pamoja na umuhimu wake, yeye kuwa kiungo muhimu kwenye timu, mafanikio ya timu ni sawa na kipindi kile? Analipwa shilingi ngapi? Unaweza kulinganisha mshahara wake na mafanikio ya timu kwa sasa?
Kitu ambacho watu tunachanganya, ni kwamba we are talking about the former Messi/Barcelona vs this Messi/Barcelona. Standards walizoziweka vs wanachokifanya sasa hivi.
Kwa wale wafatiliaji wa NBA, hili liliwakuta LA Lakers kwenye misimu ya mwisho ya Legend Kobe Bryant, walijikuta wanamlipa mshahara mkubwa sana wakati production yake ilishaisha, na hivyo ikawa hata kupata wachezaji Star ikawa ngumu. Wamekaa muda bila kucheza Playoffs mpaka alivyo retire wakaanza rebuild.
Messi lazima aelewe nafasi yake kwa kuisaidia timu, not holding the team hostage.
Messi's goal and assist stats for every La Liga season
Yellow:Goals
Red:Assists
Wasatani wa kuscore ni goals 30+
Messi amehusika jumla ya Goals 40+ msimu huu, unaposema ufungaji umepungua unataka kumaanisha nini wakati jamaa amekuwa bora zaidi kusaidia Team kwa kufunga na kutoa assists nyingi kuliko msimu mwingne toka aanze mpira
Huoni kwa jicho la tatu Messi anaweza kucheza kama KIUNGO...
Niliposema ukagoogle nilitaka ukajiridhishe na pengne upate wasaa wakujifunza
Huyu mtu angekuwa na magoal 40 tungemwita mbinafsi,
Unapoongelea mpira jitahidi kugusa kila Angle....
Kwa ubora wa Messi na Dakika anazocheza kila msimu nilitarajia kupongeza tu kwa kuonyesha kiwango cha juu kila msimu, ambalo si jambo rahisi
Ikumbukwe msimu huu alipata majeraha yaliyomweka nje kwa siku kaza
Pamoja na kukaa nje bado Kabeba Pichichi
Unawezaje kusimama mbele za watu na kusema Messi kiwango kimeshuka?
Hapo hapo unasema kimeshuka kwa kufananisha na alichokifanya nyumasi kwa mlingano wa wachezaji wenzake...
Messi kiwango chake ni bora kila kukicha... Period
View attachment 1511410View attachment 1511411
Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievement
Tunapozungumzia performance kuna individual performance na Collective performance...
Hapa unapogusia makombe hayo ni Collective Performance.. Kuanzia mfagiaji hadi Uongozi wa juu...
Ndo maana Team ikishuka anayefukuzwa ni Kocha...
Kwanini Kocha?
Kwa sababu yeye ndiye Kiunganishi cha wote..
Yeye ndo mtendaji mkuu, anayesimamia shughuli za kila siku za kisoka...
Ukisema Messi kasababisha au anasababisha Team idrop una maana wachezaji wengne ni bora kumzidi.. na Messi kafail kutimiza majukumu yake (hachezi vizuri tena)
Hapa ungetuambia Mfungaji bora wa Barcelona ni Back (Pique, Lenglet au Semedo)
Ungetuambia Messi amezidiwa hadi assists na Alba nk
Unasema Messi kashuka kwa kuangalia ufungaji magoal, wakati huo yeye ndo Mfungaji bora, sio Barça tu ila La Liga nzima...
Unasema Messi kashuka kiwango kwa kugusia Umri wake, maajabu sana .
Kuhusu umri Barcelona hawezi kufanya mabadiliko ya wakati mmoja kwa wakuwauza wachezaji, hapana mabadiliko yanakuwa ya taratibu,
Team kubwa kama Barcelona na Madrid hazifanyi mambo Kwa kubahatisha
Ndo maana Madrid akina Ramos, Modric bado wapo... Replacement infanyika taratibu...
Hivyo hivyo Kwa Barcelona...
Kwa Barcelona Messi ni zaidi ya mchezaji tumwonavyo..
Messi ni Nembo ya La Liga.. Hawezi kutoka kama tunavyodhani
Messi Hawezi kuuzwa, japo kweli itafika muda wa ukomo wa kucheza...
Messi ni MBUZI
Chelsea Wanamtaka Ter Stegan.Swap Deal Na Kepa.Jamani tusikae kimya tuendelee kujuzana lolote lihusulo Club hususani tetesi za usajiri mpya.. Transifer news
Tatizo letu unaweza shangaa tukawapa !Chelsea Wanamtaka Ter Stegan.Swap Deal Na Kepa.
Sio dili la kushangaza maana barca wakiwa nyuma ya mgongo wa athletico bilbao walimfanyia madrid figisu nyingi sana juu ya mlinda mlango KEPA. Hizo tetesi sio za kusitukizaChelsea Wanamtaka Ter Stegan.Swap Deal Na Kepa.
DahNi trophyless season ndugu. Mwaka huu Messi akinyanyua kwapa basi labda ananusa mavuzi yake tu.
Dahacha wehu uefa unataka kusema hawezi kuchukua
Yupo vizuriMkuu naweza kuwapa few parcents Real Madrid kuliko hawa watu. Ukisikia Barcelona ujue ni Leonel Messi. Mtu wenyewe ashajichokea sema hawa hawajakia tu. Huyu Messi siku hizi watoto wanapiga tackle tu, halafu kimyakimya. Sema Barka kids hawawezi kukubali
Yaani unatulazimisha kukubali mawazo yako binafsi Mkuu?Mkuu naweza kuwapa few parcents Real Madrid kuliko hawa watu. Ukisikia Barcelona ujue ni Leonel Messi. Mtu wenyewe ashajichokea sema hawa hawajakia tu. Huyu Messi siku hizi watoto wanapiga tackle tu, halafu kimyakimya. Sema Barka kids hawawezi kukubali
Yaani unatulazimisha kukubali mawazo yako binafsi Mkuu?
Top scorer + Top assist kwangu ni kiwango bora kabisa kwangu.
Huyo Zidane baada ya corona amenunua waamuzi kashinda kimgongo mgongo tu penati za kupewa dunia nzima imeona hadi timu ikaitwa VAR .......Video Assisting Real MafridTop assist with Almighty Eibar kaka, Barcelona is Messi that's why they re miserable when the guy does not a good day. Don't worry, the guy is Maestro than Eniesta, but take my words, with Zidane at Real Madrid, he's not going to anything with Barcelona
Mark my words