Wakuu hivi la masia ndo imepotea au nini. Maana ilisikika la masia ni academy iliosheheni vipaji vyenye kuja kuisaidia klabu pasina kutegemea kununua wachezaji. Hali ipoje hivi sasa
Wabrazili uwa hawakawii kudrop, nakupa miaka miwili tu kwa arthur anapotea hutaamini,,,Pjanic na uzee wake still mtamu na anaji2ma sana sema tu baada ya cr7 kwenda pare wakamuondolea majukumu kama freekik, cross n.k

Tunacheza vizuri ad sasa sema tunategemea maajabu ya mtu mmoja pale mbele yani assist atoe yeye, kufunga afunge yeye. Tunahitaji viungo wabunifu kwenye kutoa pass za mwisho na winga walau mbunifu anaejua kupunguza awatanue watanue uwanja.

Nimejua leo kwanini Barca hawana shida ata akiondoka Arthur asee Yule mtoto Piug anajua sana. Leo kabadili sana mchezo, changamoto ya Arthur anamiliki mpira vizuri Ila pasi zake hazina madhara lakini huyu mtoto Piug Leo kaupiga mwingi mno na pass zake zinaenda mbele nanzina madhara sana. Huyu mtoto apewe nafasi Kwa l kweli.