Mkuu nipe report Za braithwaite leo
Jionee walivyochakazwa
Uongozi nao wamekua wazito sana katika swala zima la usajiri..tunahitaji difenders at least viwango vya Carles puyor na Dani alves angalau watatu..kule mbele Messi aletewe wasaidizi wawili watatu matata...
Sajiri Neymar Jr,Martinez hata Mbappe....hii itasaidia hata messi anapumzika siku moja moja kuliko ilivyo sasa kila kitu,kila game ni messi tu tunamchosha na kumchakaza
Mbona Pep Guardiola ameweza kuweka kikosi imara?tatizo lipo wapi barca?
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kujifariji ...ni haki yakoKumbukumbu mnayo au mnajitoa ufahamu?
Unajitoa ufahamuWe endelea kujifariji ...ni haki yako
hebu subiri siku mkifikisha UCL tano ndio uje kuongea na sisi. Kwa sasa kasutane na watu wa arsenal ndio level yako.Kumbukumbu mnayo au mnajitoa ufahamu?
Mimi na deal na wewe kama Madrid fan. Je nikikwambia uzitafute tano nyingine ndio uje tuongee utaweza? Arsenal hapa haingii kwa sababu hajawahi nusa kabisa.hebu subiri siku mkifikisha UCL tano ndio uje kuongea na sisi. Kwa sasa kasutane na watu wa arsenal ndio level yako.
madrid fan unakuja na memes za chelsea? Hiyo kichwa iko sawa kweli?Mimi na deal na wewe kama Madrid fan. Je nikikwambia uzitafute tano nyingine ndio uje tuongee utaweza? Arsenal hapa haingii kwa sababu hajawahi nusa kabisa.
Kama fan wa football siwezi kupata shida kwa hoja yoyote ya mpira. Unachoogopa wewe nini?madrid fan unakuja na memes za chelsea? Hiyo kichwa iko sawa kweli?
Nilichogundua hili picha linaogopwa sana humu. Naomba mniwie radhi kwa kuwapa kumbukumbu chungu kwenu ila ndio mpira huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teeh..Siku moja tu mribahatisha,,,mbona hamkuenderea ivyoivyo? Messi aliwafanya nini mwak jana cjui mwaka juzi na wakina hazard wako?
bosquet ndio nani?Teeh..mzee pole sana. Kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Halafu ukiongelea swala la wachezaji mbona hata sisi mwaka 2004 kama sikosei tuliwapiga mkiwa na majembe yote. Messi, Bosquet, Iniesta na Xavi.
Sent using Jamii Forums mobile app