Semedo,Pique wame suffer sana leo
2nd half hali ya mchezo ikabadilika...tatizo letu kubwa mbali ya strikers wageni...ni UKUTA WETU,magoli yote mawili ni mapungufu yao
Kati wanajitahidi,hata akina Messi nao wabaki kujilaumu wenyewe kwa kukosa nafasi za wazi nyingi...kukosekana kwa akina Suarez kunatucost japo Braithwaite atasaidia jahazi
Tukubali matokeo pointi moja tulozidiwa nina imani tutaicover soon na kurejea kileleni.