Ukiachana na rafu vidal 2namuhitaji sana kuliko hata dejong na Arthur.... Lakini rakitic wamuuze hata Genkwachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal
wachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal
wachezaji kama vidal na rakitic zama zao zimepita wanapuyanga tu uwanjani sio kwanini arthur kamuweka nje alivyoingia unaona kabisa combination yake na de jong timu inaenda mbele jitu linacheza faulo halafu Linafanya fujo poor vidal
Labda washinde UCL ya huko simiyu ndanindani sio UCL tunayoifahamu, Barcelona imekwisha na akistaafu yule mwenye hilizi wao andunje Barcelona itakuwa Kama Ihefu fc ya MbeyaWakuu, team yetu ni mbovu. Ila i have a crazy feeling, barca hii mbovu itashinda UCL!
ni hirizi, sio hilizi.Labda washinde UCL ya huko simiyu ndanindani sio UCL tunayoifahamu, Barcelona imekwisha na akistaafu yule mwenye hilizi wao andunje Barcelona itakuwa Kama Ihefu fc ya Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani unajua sijawahi kuzitumia ndio maana nikakosea spelling, ahsante sana gwiji wa utumiaji wa hiyo kituni hirizi, sio hilizi.
Kwangu napenda sana viungo wakicheza De Jong, Rakitic na Arthul. Ni ukweli uliowazi kuwa De Jong na Arthul twapaswa kuwapa muda mwingi kucheza mpira kwa pamoja.
Kwa sasa kule mbele ni kubovu, Griezmann bado mpira wa Barca unamkataa. Tungekuwa na msaidizi wa Messi ingekuwa nafuu sana.
Walau tungempata Sane au ile wing ya Man City.
Ingekuwa hiyari yangu hata Thiago Alcantara angerudi tu Barca.
Sent using Jamii Forums mobile app
inabidi tuwe carefull na big names-hali ya Barca ni mbaya sababu our recent big signings are not delivering.Kwangu napenda sana viungo wakicheza De Jong, Rakitic na Arthul. Ni ukweli uliowazi kuwa De Jong na Arthul twapaswa kuwapa muda mwingi kucheza mpira kwa pamoja.
Kwa sasa kule mbele ni kubovu, Griezmann bado mpira wa Barca unamkataa. Tungekuwa na msaidizi wa Messi ingekuwa nafuu sana.
Walau tungempata Sane au ile wing ya Man City.
Ingekuwa hiyari yangu hata Thiago Alcantara angerudi tu Barca.
Sent using Jamii Forums mobile app
zlatan kumbe alikuwa winga wa mbio?sane winga wa mbio mda mwingi so hawezi kabsa kufit mfumo wa basa atakuwa kama zaltan tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Griezman,braithwaite.they can both start...later on ansu fati.El Classico is upon us-do or die-Barcelona papers say Jody Alba will start,question is apart from Greizman and Messi,who will be the other starters upfront? Barca need width otherwise it will be a struggle like the Napoli game. Setien will have to go for width he has no choice according to the papers
Hii Game akiwepo Alba na mbele tungekuwa na muhuni kama Dembele akiwa na Messi, trust me Madrid hatoki Bernabeu.Jamani leo humu msiwe na wasiwasi hatutaloose point 3 tunashinda au tunadroo.Ila hii mechi inatakiwa tutumie nguvu+akili.Mechi nyingi za El classico pale Bernabeu tunashinda kwa akili zaidi lakin leo na nguvu itumike.Tukilelemaa tunaweza hata kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app