Yeah barcelona wana upungufu wa forward baada ya Suarez na dembele kuumia so wameomba kusajili kuziba nafasi ila wameruhusiwa kusajili mshambuliaji ndani ya laliga tu!Nasikia tumepewa 15 days kumsajiri mbadala wa Dembele.......aliyeifuatilia vizuri news hii pls atujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana messi anamaindi sana...sajili za baca izi sijui kam tutaweza kwelView attachment 1364266
Sent using Jamii Forums mobile app
| 32' | FC Barcelona | 1-0 | SD Eibar |
| 45+1' | FC Barcelona | 3-0 | SD Eibar |
FC Barcelona | 3-0 | SD Eibar |
Kipindi cha kwanza tumecheza kama timu ya daraja la 3 ila ni uwezo wa Messi ndo umetupatia haya magoli 3 bila yeye nadhani tungekua nyuma kwa goli au magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
| 50' | FC Barcelona | 3-0 | SD Eibar |
| 56' | FC Barcelona | 3-0 | SD Eibar |
| 66' | FC Barcelona | 3-0 | SD Eibar |