Kiukweli game ya jana nimeicheki mwanzo mwisho na mimi wala sipo kwenye taswira ya matokeo ya mwisho, mi napenda nizungumzie mechi nzima kwa ujumla kiukweli team imebadilika sana kama ni mashambulizi tulifanya sana ni vile bahati haikua yetu mana hata ukiangalia kwenye mashambulizi sisi tulikua na mashambulizi hatari sana kuliko Athletic Bilbao kifupi team ina improve kila mechi. Chini ya Valverde tulishindwa kupiga hata shuti 1 kwa wapinzani pindi tunapocheza mechi za ugenini ila kwa jana mechi ilikua nzuri sana yaan ilikua 50 kwa 50 ingawa kumtoa Ansu Fati na kumuacha Sergi Robert haikua sahihi mana Fati alikua anasumbua sana na kingine tumekosa wachezaji wa kumsapoti mesi kwenye kuwakimbiza defenders wa upinzani huku ukiwa unaumiliki mpira na jana messi alikabwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wanakosa subira wanasahau kua kujenga timu si ndoto ya siku 1, tazama Liverpool ya Kloop imefika hapo nafikiri huu ni msimu wa 3 au 4, Tactically Setien ni kocha mzuri sana kuliko hata Valvede kuna chemistry anaijenga ndani ya fc barcelona kwa mliocheki gemu tuliocheza na hawa Bilbao mwezi august mwaka jana kwenye dimba lao la Memes kiukweli walitushika vibaya ila gemu ya jana timu imecheza kutafuta matokeo ila bahat haikua yetu mana tulitengeneza chance nyingi sana zilienda on target na hata ukiwaangalia bilbao walikua wanacheza verry agressive football nakuhakikishia kwa mbinu za Valverde jana tungekufa nyingi sanaAfadhali hata kuna watu kama wewe wenye jicho la tofauti.. wasiotumia mihemko kama mashabiki wenzangu wa barca.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wanakosa subira wanasahau kua kujenga timu si ndoto ya siku 1, tazama Liverpool ya Kloop imefika hapo nafikiri huu ni msimu wa 3 au 4, Tactically Setien ni kocha mzuri sana kuliko hata Valvede kuna chemistry anaijenga ndani ya fc barcelona kwa mliocheki gemu tuliocheza na hawa Bilbao mwezi august mwaka jana kwenye dimba lao la Memes kiukweli walitushika vibaya ila gemu ya jana timu imecheza kutafuta matokeo ila bahat haikua yetu mana tulitengeneza chance nyingi sana zilienda on target na hata ukiwaangalia bilbao walikua wanacheza verry agressive football nakuhakikishia kwa mbinu za Valverde jana tungekufa nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa timu kama Barca kufeli kufunga dakika 90 dhidi ya timu ndogo (Squad depth & Finance) kama Bilbao ni failure bila kujali goli limeingiaje kwao hata 0-0 ni success.
Mmeshindwa vunja defence yao na kufunga hiyo ni failure kwa timu kama Barca. Kwahiyo hakuna justification yoyote juu ya kipigo chenu.
Mkuu kwa timu kama Barca kufeli kufunga dakika 90 dhidi ya timu ndogo (Squad depth & Finance) kama Bilbao ni failure bila kujali goli limeingiaje kwao hata 0-0 ni success.
Kwahiyo lazima mkubali strateji zenu zilifeli kabisa na bado UCL mtatolewa kwa aibu. Mlimtegemea sana Messi sahivi hamna bahati nasibu ni vipigo tu. Eti Fati na Rique Puig ndio wakuwaletea UCL?? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hivi unafikiri fc barcelona itatamba milele?, jibu ni hapana timu lazima ipite transition period leo watu wanaiimba Liverpool ila imewachukua miaka mingap kua hapo walipo jiulize Manchester United ya Ferguson ndo hii ya leo msimu wa 6 anasindikiza ligi. Zama zinapita huna haja ya kutoa povu lako we pambana na timu yako ila sisi mashabiki wa fc barcelona tunafuraishwa na improvement ya timu yetu chini Quique Setien na wala sikuumizwa na sisi kufungwa mechi ya jana mana mpira niliungalia vizuri na timu ilicheza vizuri sanaMmeshindwa vunja defence yao na kufunga hiyo ni failure kwa timu kama Barca. Kwahiyo hakuna justification yoyote juu ya kipigo chenu.
Tropyhless season approaching
Mmeshindwa vunja defence yao na kufunga hiyo ni failure kwa timu kama Barca. Kwahiyo hakuna justification yoyote juu ya kipigo chenu.
Tropyhless season approaching
Hivi unafikiri fc barcelona itatamba milele?, jibu ni hapana timu lazima ipite transition period leo watu wanaiimba Liverpool ila imewachukua miaka mingap kua hapo walipo jiulize Manchester United ya Ferguson ndo hii ya leo msimu wa 6 anasindikiza ligi. Zama zinapita huna haja ya kutoa povu lako we pambana na timu yako ila sisi mashabiki wa fc barcelona tunafuraishwa na improvement ya timu yetu chini Quique Setien na wala sikuumizwa na sisi kufungwa mechi ya jana mana mpira niliungalia vizuri na timu ilicheza vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupanda na kushuka ni mlikuwa mnabebwa na Messi..... Timu iliyoko kwenye Transition mnasajili De jong,Dembele,Grizzi na Coutinho kwa combined €400+ Million??Sawa tumetolewa, na UEFA tunatolewa ili ufrahi zaidi.
Sisi ni team kama team zingine, kuna kupanda na kushuka.
Na hakuna team yenye haki miliki ya kushinda kila match.
Sisi kufungwa tunachukulia ni namna ya kujijenga upya.
Mfano Liverpool saizi wanaonekana wako vzr lkn wameteseka kwa miaka kibao.
Kwahiyo kama barca ikifungwa unafrahi endelea kufrahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafahamu kuna matatizo justification za nini kwenye mechi ya Bilbao!! Nakumbusha tu mmetumia zaidi ya €500M kujaribu kumreplace Neymar na wote wameishia kuwa flops kuanzia Malcom mpaka Dembele.Acha kujibu mambo ki mihemko!! Unadhani haijulikani kwamba tunamatatizo? Au wewe ndio unaeliona tatizo pekeako.. hujaona hatua zilizochukuliwa hadi sasa? Kama hujaziona unakausha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
As a Colchonero/Los indios (Atletico madrid fan) lazima nifurahie anguko la Barca na Madrid maana mlitusema sana tulipotolewa na kitimu cha Segunda C huko kumbe na nyie walewale tu.Ni kumpuuza tu mtu mwenye akili ya namna hiyo.. nimemuona na kwenye post ya madrid analopoka lopoka kama anavyofanya hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna zama hapo mlikua mnabebwa na Messi tu kwa miaka 10 sasa, hakuna succession plan yoyote ile mnasajili hovyo ona dembele na coutinho..... Bado grizzi hao wote sio barca type ila ni panic buys mwishowe mmekata pumzi yote.Hivi unafikiri fc barcelona itatamba milele?, jibu ni hapana timu lazima ipite transition period leo watu wanaiimba Liverpool ila imewachukua miaka mingap kua hapo walipo jiulize Manchester United ya Ferguson ndo hii ya leo msimu wa 6 anasindikiza ligi. Zama zinapita huna haja ya kutoa povu lako we pambana na timu yako ila sisi mashabiki wa fc barcelona tunafuraishwa na improvement ya timu yetu chini Quique Setien na wala sikuumizwa na sisi kufungwa mechi ya jana mana mpira niliungalia vizuri na timu ilicheza vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupanda na kushuka ni mlikuwa mnabebwa na Messi..... Timu iliyoko kwenye Transition mnasajili De jong,Dembele,Grizzi na Coutinho kwa combined €400+ Million??
Enzi hizo barca ilikua inalea wachezaji vijana siku hizi mmekuwa na sajili za ajabu ajabu tu zisizo na malengo eti transition!!! Hapo bado mnataka kumsajili Werner kwa 70m duh kwa staili hii Messi akistaafu mtapukutika kama Ac Milan.
Time will tell
Kama unafahamu kuna matatizo justification za nini kwenye mechi ya Bilbao!! Nakumbusha tu mmetumia zaidi ya €500M kujaribu kumreplace Neymar na wote wameishia kuwa flops kuanzia Malcom mpaka Dembele.
What Im saying nyie na madrid mmekuwa one man team kwa muda mrefu sema mnabebwa bebwa tu na hizo corrupt bodies ila kimpira mmekua wakawaida sana. Na messi akistaafu mtastruggle kama Real Madrid.
Nasubiri elimination UCL
Sawa sijui we kinakuuma nini fc barcelona kustruggle mzee pambana na Manyumbu Fc yako we umeona mwanabarcelona akikushobokea na timu yako mbovu usitake kumaliza machungu yako kwa matokeo ya timu yetuKama unafahamu kuna matatizo justification za nini kwenye mechi ya Bilbao!! Nakumbusha tu mmetumia zaidi ya €500M kujaribu kumreplace Neymar na wote wameishia kuwa flops kuanzia Malcom mpaka Dembele.
What Im saying nyie na madrid mmekuwa one man team kwa muda mrefu sema mnabebwa bebwa tu na hizo corrupt bodies ila kimpira mmekua wakawaida sana. Na messi akistaafu mtastruggle kama Real Madrid.
Nasubiri elimination UCL
Sawa na wewe timu yako inaenda kubeba taji gani ?As a Colchonero/Los indios (Atletico madrid fan) lazima nifurahie anguko la Barca na Madrid maana mlitusema sana tulipotolewa na kitimu cha Segunda C huko kumbe na nyie walewale tu.
Barca na Real sio threat tena mlikua one man team sasa mmeanza umbuka. Na post messi era itakuwa bitter kuliko mlivyotarajia.
Na tena forward ndio wote wapo ICU sioni mkibeba taji lolote msimu huu zaidi ya La Liga ambayo top 4 wote ni wachovu.