Naona hapa tiki taka tupu,kasoro Vidal na Griezmann
Mpaka leo ni kama siamini yule jamaa kwamba alicheza Barca, akiitazama Liverpool ya leo anajuti maisha yake.
| 11' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
| 29' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
Hakuna magoli pande zote.ngapingapi huko
| 42' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
| HT | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
Griez bado anahitaji darasa la tiki taka,positioning acumen yake bado,its goalless halftime,but DNA ya Barca imerudi-total control. Hapa kakosa Suarez-the tiki taka on show angekuwa amesharudi.Hata defence inaonekana in total control. The good times are coming backUmtiti anazingua mipira anakimbizia kwenye mstari
Grienzy kama bado movements hazijamkaa..
Rakitic apumzike tu
Fati kosa uoga angefunga
All in all entertainment... [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
| 48' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
Umtiti anazingua mipira anakimbizia kwenye mstari
Grienzy kama bado movements hazijamkaa..
Rakitic apumzike tu
Fati kosa uoga angefunga
All in all entertainment... [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
| 56' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
| 65' | FC Barcelona | 0-0 | Granada CF |
Gaddaymn
65' FC Barcelona 0-0 Granada CF
| 76' | FC Barcelona | 1-0 | Granada CF |