Ila Valverde alikuwa anachukia madogo
Malcolm baada ya kufunga goli el classico na kuwa MOTM akakaa benchi miezi miwili kabla ya kucheza tena
Alena baada ya mechi ya kwanza msimu huu akalishwa benchi miezi mitatu kabla ya kuanza tena kucheza
Todibo ameenda mkopo ilhali mabeki wetu ndio hao pique ambaye hayuko serious, lenglet average na umtiti injury prone.
Puig hajacheza hata dakika moja na first team
Wague mpaka apangwe kwenye timu, mara moja kwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawatumiaje wakati hawakusaidii kushikilia kibarua chako.Kitu inauma kati ya wote hao ni malcom mzee..
Ni ngumu kusema anawachukia nadhani alishindwa tu kuwatumia
Sent using Jamii Forums mobile app
ila ukweli coutinho alkua anazngua...ni wa kawaida sana mimi hela yangu ningemuwekea Malcolm
Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila ukweli coutinho alkua anazngua...ni wa kawaida sana mimi hela yangu ningemuwekea Malcolm
Msimamo wake hato angalia majina atakua anaangalia unatoa nini kusaidia system..Kama huyo pique apigwe benchi na bora kocha mpya aanze na ukuta wote
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli wapuuzi hawataisha malcom unamlinganisha na coutinho ndio maana CCM Itatawala milele.ila ukweli coutinho alkua anazngua...ni wa kawaida sana mimi hela yangu ningemuwekea Malcolm
kweli wapuuzi hawataisha malcom unamlinganisha na coutinho ndio maana CCM Itatawala milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaaa ni m*ehu countinho una mlinganisha na upumbavu kama malcom alikuwepo anajua kwanini bayer wasimtake akatakiwa coutinho malcom uko aliko zenit utalinganisha na alipo coutinho acha kufikiri kwa kutimia Jicho la tatuWewe ni shabiki wa liver halafu mech za barca msimu ulopita ulkuwa huangalii...coutinho alipewa playtime nyingi lakn alchofanya ni Ndogo kulko Malcolm...Malcolm akiingia ulkua unaona impact yake kabisa..
Sema valverde alikuwa anapendelea weupe lakn semedo na Malcolm walkua wachezaj wazur kuliko Roberto na coutinho
Lazima tukubaliane kuna wachezaji hawana kiwango cha kuchezea Barcelona-mchezaji ambaye ana blow hot and cold water hafai Barca-consistence ni muhimu Barca-ndio maana leo tunajiuliza sana kuhusu Dembele-match moja world class,match 3 he disappears.Naamini hata huyu coach mpya kuna mtu atazipiga sana benchIla Valverde alikuwa anachukia madogo
Malcolm baada ya kufunga goli el classico na kuwa MOTM akakaa benchi miezi miwili kabla ya kucheza tena
Alena baada ya mechi ya kwanza msimu huu akalishwa benchi miezi mitatu kabla ya kuanza tena kucheza
Todibo ameenda mkopo ilhali mabeki wetu ndio hao pique ambaye hayuko serious, lenglet average na umtiti injury prone.
Puig hajacheza hata dakika moja na first team
Wague mpaka apangwe kwenye timu, mara moja kwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji460] MATCHDAY: Barça | Granada
[emoji471] La Liga Santander
[emoji909] Camp Nou
[emoji413] 11:00 pm East Africa Time
>>Setien debut as Barça manager
View attachment 1327620
Ngj tuone leo angalau team tachezea vp.. Lkn nachoamin kocha ni mzr kwa style ya uchezaj na hata kama impact isipo onekana leo moja kwa moja lkn naamin ni swala LA mda tutacheza mpr weny high intensity.. #Vamooooooooooooos[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapa tiki taka tupu,kasoro Vidal na GriezmannNaona maraia wamepambana kupata namba hahaha
Unusual
Grinzy false 9
Ansu messi [emoji91][emoji91][emoji91]
Complain after the match
View attachment 1327938
Sent using Jamii Forums mobile app