Dogo kaingia sub Dkk ya 83...Dkk ya 87 katikisa nyavu!.....
Sometimes ni mzuri kumshinda mkongwe Suarez pale linapofikia swala la kukosa magoli ya wazi..dpgo kwenye chance 4 angalau mbili atawaweka tu...
Inter 1 barca 2
Wakongwe walianza wanne tu Ractic/Captain,Arturo Vidal,Umtiti na Griesmann
Mwishoni wakaingia Suarez,De jong na Ansu.
Hata Todibo nae atakuja kua hatari yule dogo..kuliko huyu Wague bado kwakweli.
Carles Perez alionyesha umahiri wake pale alipotikisa nyavu goli la kwanza.