UCL.ndoo gani?
Yaani nilichungulia hii mechi,haina amsha amsha.Mechi nzuri ni Intermilan vs Dortimund.Pique Leo amefanya individual mistakes nyingi sana
Aaahhh barca mbona inapuyanga hiviii.... au ndio kama man c jana kipindi cha pili wakakiwasha
Tuvute subira, goli 3 zinawadia hivi punde
4-0
Ina maana away games itakuwa kazi ni kuforce ushindi
Suarez Mpira wake wa kimafruku Sana japo anafungaAaaghh no CS
uefa cl 2019/2020.PSG
Shida kubwa ukuta wetu hasa Gelard yaani mfano lile goli tuliofungwa yaani mabeki watatu walikua wamemzunguka mfungaji anawatoka kirahisi anafunga....ter stegen alijitahidi sana jana mwisho akachoka.Tunatia huruma