Mkuu umepotea, hamna backbone pale, busquets kwa soka la sasa haendani nalo.
Soka la kupooza mpira kwa sasa halipo tena, soka linahitaji vijana damu inayochangamka muda wote wanapanda na kushuka kama akina De Jong.
Siku hakuna haja ya kukaa na kusema nimepiga pasi ngapi na ngapi zimefika, ngapi hazijafika.
Busquets mpira wake umepooza sana, akae tu benchi mbele ya De Jong.