FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Lenglet anapotea sana kwa barca hii bado sana..tatizo linaanzia kwa kocha na baadhi ya wachezaji kiwango cha kawaida...lenglet pia semedo hana faida ni mchezaji machachari sio hatari hapigi pasi za mwisho
 
Swala la Semedo nimeshaliongelea sana-end product yake ni poor
 
Clement tatizo lake kubwa anatumia mguu mmoja mwingne ni kwa ajili ya kutembelea tu! Mchezaji wa hivo anafaa kukaa kuchoto tu kumuweka katikati ya uwaja ni hatari.
Lenglet anapotea sana kwa barca hii bado sana..tatizo linaanzia kwa kocha na baadhi ya wachezaji kiwango cha kawaida...lenglet pia semedo hana faida ni mchezaji machachari sio hatari hapigi pasi za mwisho
 
Duh.. Hawa mashabiki wengine bwana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…