Na atasubiri sana PSG hatuna mpango wa kumuachia Neymah na akileta dharau anakula benchi mpaka mkataba uishe kama Rabiot ,Pesa ya Mafuta haiwezi kusumbuliwa na mbazili mmojaHakupata injury bro maana toka apewe red card copa America hakucheza tena bali amewapa conditions barca wamlete Neymar yeye ndio aingie uwanjan
Soma post 29515Lugha ya makinikia hiyo usione mnabishana Sana na mtu ukajua nimbishi hapana tatizo lugha
Ameumia bana ana CALF INJURY bado hajapona vzury.NILIKUA NAZINGUA WASHKAJI TU.Na atasubiri sana PSG hatuna mpango wa kumuachia Neymah na akileta dharau anakula benchi mpaka mkataba uishe kama Rabiot ,Pesa ya Mafuta haiwezi kusumbuliwa na mbazili mmoja
We unajua kutunga storyMessi hakupata injury yoyote bali alisema hatoingia uwanjan mpk Neymar aje
Nadhani anytime twaweza kupata chochote chanya kuanzia sasa.wazee hiv neymar tunaez mpata kwel.... mwenye details kdg plz...
Hahaha mm tenaa umepatia bro.We unajua kutunga story
Messi hakupata injury yoyote bali alisema hatoingia uwanjan mpk Neymar aje
Hahahahahahah SAMAHANINI KAKA ZANGU NILIKUWA NAZINGUA WATU KWA FURAHA YA JANA BARCA KUSHINDA.Mkuu kwann umeamua kutulisha matango mwitu kias hiki aisee
Yan kwa ulimwengu huu bado umetufanya sisi sote uongo njop tamu kolea
Dah
Carles Perez atakapoungana na King messi na Neymar + Griesman itakua motooo ...kumbe chipukizi tunao Lamasia tuna ng'an'g'ana na wazee akina Suarez na Pique ifikie wakati barca mizigo iondolewe hata kama ni kwa mkopoWakuu ile winger ya kulia ya jana inaitwa perez ni ya moto balaa, yule dogo akakaa na Neymar hii timu itakuwa ni hatari.
Dembele mbele ya huyu dogo mimi karata yangu naitupa hapa, dogo akipewa nafasi ni moto. Tukiwa na Neymar hakika bila Messi timu inabeba UEFA.
Bro ngojea tusubiri ila navyojua Neymar ana jeuri kumbafu yule atawaletea ukumbafu mpk watamtoa tu.Naona issue ya Neymar kutua Barça ni ngumu ukizingatia Mbappe kaumia, Cavani kaumia lakini kubwa kuliko raisi wao kasema Asiuzwe
Naona issue ya Neymar kutua Barça ni ngumu ukizingatia Mbappe kaumia, Cavani kaumia lakini kubwa kuliko raisi wao kasema Asiuzwe
Ilikuwa ngumu kukosekana dembele kwenye dili.. Ilasasa lipo uchi.. Dembele aende labda atadevelop kwa yule kocha...
Kule kuficha injury imeleta picha mbaya sana..
No professionalism kwa huyu dogo, alilewa sifa
Roberto atacheza tu mbona ata wakitaka na raktic tuwape tuAnayeniuma Semedo aisee naona nimchezaji muhimu sana Barça