Unaweza ukawa sahihi ila jamaa pale Nou Camp alituhemesha msimu alopita.Bro klopp mpira wa tik tak anacheza dakika tano tu basi.
Hata mechi na barca ali possess mpira dakika tano tu.
Hana mpira aina ya tiktak hana kabbisa.
We mtizame akicheza na man city yan anabutua butua tu.
Tunamtaka mtu wa kuurejesha mpira wa tik tak km Guardiola ama Enrique mpira wa triangle passes klopp hana na hawezi mkuu.
Kwa hivyo mpo tayari mkose kocha kisa wa tiktaka wamekosekana? Hivi Luis Enrique alifundisha tiktaka kweli(ile ya 100%)?Bro klopp mpira wa tik tak anacheza dakika tano tu basi.
Hata mechi na barca ali possess mpira dakika tano tu.
Hana mpira aina ya tiktak hana kabbisa.
We mtizame akicheza na man city yan anabutua butua tu.
Tunamtaka mtu wa kuurejesha mpira wa tik tak km Guardiola ama Enrique mpira wa triangle passes klopp hana na hawezi mkuu.
Bro vile vipasi vya dakika ya 60 mpk 70 ndio useme katuhemesha????!!!!!!!Unaweza ukawa sahihi ila jamaa pale Nou Camp alituhemesha msimu alopita.
Kwa hivyo mpo tayari mkose kocha kisa wa tiktaka wamekosekana? Hivi Luis Enrique alifundisha tiktaka kweli(ile ya 100%)?
Possession wakati wa Enrique haikubase zaidi kwenye tiktak style timu pinzani iliwalazima kukaa nyuma zaidi kutokana na hatari ya MSN iliyokuwa pale, kumbuka timu inapokuwa na washambuliaji wengi wazuri huwezi kuacha gaps kwa kusogea mbele zaidi na hivyo kuwafanya viungo wa timu husika kupossess zaidi na ni kwa kigezo hiki Bayern alitolewa na Barcelona mwaka ule lakini mkumbuke kocha villanova , alikuja na style ile ile ya guardiola lakini tulifungwa goal 7 na hao hao Bayern.Ukitazama vizuri utagundua wakati wa Enrique barcelona ilicheza counter attacking football kiasi na ndiyo kipindi uliona pasi inatoka moja kwa moja kwa beki na mshambuliaji anapokea na kuscoreBro Luis Enrique ali modify tik tak zaid ya alivyoikuta.
Ndio maana kipind chake ulikua ukisikia possession 70 kwa 30 .
Shahid Guardiola mwenyewe alisarenda kwa Enrique ile Uefa tulivyowafunga 4 na triangle pass zilikuepo km kawa.
Aloua tik tak Valverde
Kipindi tunapigwa 7 njee ndani na Bayern Tito Villanova alikuwa kamwachia team msaidizi wake yeye alikuwa anatibiwa cancerPossession wakati wa Enrique haikubase zaidi kwenye tiktak style timu pinzani iliwalazima kukaa nyuma zaidi kutokana na hatari ya MSN iliyokuwa pale, kumbuka timu inapokuwa na washambuliaji wengi wazuri huwezi kuacha gaps kwa kusogea mbele zaidi na hivyo kuwafanya viungo wa timu husika kupossess zaidi na ni kwa kigezo hiki Bayern alitolewa na Barcelona mwaka ule lakini mkumbuke kocha villanova , alikuja na style ile ile ya guardiola lakini tulifungwa goal 7 na hao hao Bayern.Ukitazama vizuri utagundua wakati wa Enrique barcelona ilicheza counter attacking football kiasi na ndiyo kipindi uliona pasi inatoka moja kwa moja kwa beki na mshambuliaji anapokea na kuscore
Tukubaliane kwamba vyovyote ilivyo ni kuwa mpira ule wa tiktaka ya Guardiola imeshafifia hata Guardiola ukitazama kuna kitu kakiongeza alipoifundisha Bayern na Man City yaani sio ile tiktak ya pole pole kama vinyonga , ni ppssession iliyoongezewa kasi zaidi hasa eneo la kushambulia .
Mkuu nakushauri karudie kutizama tena mpira wa barca kipindi cha Enrique.Possession wakati wa Enrique haikubase zaidi kwenye tiktak style timu pinzani iliwalazima kukaa nyuma zaidi kutokana na hatari ya MSN iliyokuwa pale, kumbuka timu inapokuwa na washambuliaji wengi wazuri huwezi kuacha gaps kwa kusogea mbele zaidi na hivyo kuwafanya viungo wa timu husika kupossess zaidi na ni kwa kigezo hiki Bayern alitolewa na Barcelona mwaka ule lakini mkumbuke kocha villanova , alikuja na style ile ile ya guardiola lakini tulifungwa goal 7 na hao hao Bayern.Ukitazama vizuri utagundua wakati wa Enrique barcelona ilicheza counter attacking football kiasi na ndiyo kipindi uliona pasi inatoka moja kwa moja kwa beki na mshambuliaji anapokea na kuscore
Tukubaliane kwamba vyovyote ilivyo ni kuwa mpira ule wa tiktaka ya Guardiola imeshafifia hata Guardiola ukitazama kuna kitu kakiongeza alipoifundisha Bayern na Man City yaani sio ile tiktak ya pole pole kama vinyonga , ni ppssession iliyoongezewa kasi zaidi hasa eneo la kushambulia .
Hachezi mechi maana kucheza ni kurisk maana bado hajapona vizuriWakuu vp Messi bado anaumwa mbona kwenye kikosi hayumo
Ok poapoa mkuu nlikuwa sijajuaHachezi mechi maana kucheza ni kurisk maana bado hajapona vizuri
Mshapigwa tayariGriezman lazima acheze mpira utaoconvince leo anything less -Neymar alivyoondoka Barca walitumia 400 mill Euro"s kuziba pengo lake Malcolm,Coutinho na Dembele came over na wote hao hawakufika/hawajafikia impact ya Neymar .At least angalau huyu Griez atupe hope.Suala sio La Liga suala ni assault on Europe
Hili tatizo la kuwaza Messi litawatesa sana siku akiondoka.Wakuu vp Messi bado anaumwa mbona kwenye kikosi hayumo
Greizman is living up to his price tag-Europe beware hiyo La liga cha mtotoMshapigwa tayari
Timu haina ubunifu kabisa
Hii inaitwa Messi's effect