FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona imeanza vibaya msimu mpya wa #Laliga baada ya kuchapwa 1-0 ugenini ikicheza dhidi ya Athletic Bilbao, mfungaji ni Aduriz dakika ya 88...Barca Bila Messi ni DHAIFU
 
Pique kachoka, Umtiti pancha kibao Lenglet na Tobido hawana uzoefu
 
Barca kama usajiri utafungwa ramsi bila kuongeza beki mbili za kati hakuna cha maana kitakachofanyika. Shakira amechoka lakini kutokana na ubovu wa timu ndie anaenekana msaada kwenye ulinzi katikati.
Me mwenyewe nilikua nashangaaa.
Yani hata kumtumia Griezmann walishindwa.
Na kuna wachezaji wa kuwatoaa aisee especially Pique,Suarez
 
Pre-season imeisha bro, kama unataka nikusaidie link bro uone football. Msimu Real Madrid inaenda kuongoza la liga mwanzo mwisho.
Una ndoto za asubuhi asubuhi baba angu Duuuuh
 
Barca kama usajiri utafungwa ramsi bila kuongeza beki mbili za kati hakuna cha maana kitakachofanyika. Shakira amechoka lakini kutokana na ubovu wa timu ndie anaenekana msaada kwenye ulinzi katikati.
We unauguwa yeye ndio anaiuza team yule.
Ameshaifungisha sana team mbwa kelbu yule.
 
Kama hana umuhimu huo kwanini viongozi wa Barcelona wanahaha Paris ili wamsajiri?.

Nadhani ulishasahau kuwa Walihangaika usiku na Mchana mpaka kutumia Waganga wa Kienyeji wa Kilatin Kumpata Coutinho! Je alichowasaidia ni kipi?

Kuhaha na mchezaji haimaanishi kuwa ndiyo atakupatia unachokitaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…