Hamna namnaAnaupenda kwaiyo Messi anaeuweza atoke awekwe anaeupenda?
Kwaiyo unataka kudanganya kuwa Dembele alikuwa hachezeshwi position yake?
Anaupenda kwaiyo Messi anaeuweza atoke awekwe anaeupenda?
Jana VP wa Barcelona amesema kwa kumquote Bartomeu "Operation of Neymar is Over". Upande wa PSG wameenza maongezi na JuventusNeymar imefikia wapi?
Ni God Of Football ndio, hutaki?? Sijamdharau Mungu ..God wa football anashindwa kuisaidia timu yake ya taifa. Acha kumdharau Mungu kiasi hicho
huyu Acha aondoke tu kila siku hakuagi.Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
huyu Acha aondoke tu kila siku hakuagi.
Raiola huyo ana visasi na Barcelona,Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
Anakua mkuu, saizi ana miaka 16huyu Acha aondoke tu kila siku hakuagi.
raira ni mjinga tuAnakua mkuu, saizi ana miaka 16
Sema ameanza kua na jina toka akiwa na miaka 8 alipojiunga na Barcelona
So sad aiseeNaona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.