FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ni kweli tumefrahia ujio wa grizman lakn ukija kiufundi bado basa tutastago san msimu unaoanza kwenye uefa kwa sababu basa inaitaji san mpachika mabao sana wa kusaidiana na mess na sio mtengenezaji sana
 
Kwani greizman ni mtengenezaji?
 
huu usajili hata sijaufurahia kabsa!

Ila poa viongozi na kocha wanajua wanachokitaka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…