FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hakuna kitu nashangaa kama mtu ametoka kuvuta zake bangi anakuja kusema Greizman hafai kucheza Barcelona sasa sijui mnaosema ivyo mnalidhishwa na kiwango cha babu Suarez ambae hata kupiga pasi hawezi kabisa sikuiz
 
Mitazamo mingine noma sana mkuu

Kuna mwanangu mmoja huku anadai Dembele kwa kukosa vile ile game ya Liverpool Nou camp awekwe benchi kisha Coutinho ndio awe regular left wing

Sasa kweli Coutinho ni wa kumuweka Benchi Dembele au mahaba
Ni upuuzi kulilia nafasi moja aliyokosa Dembele na kujisahaulisha nafasi zaidi ya tatu alizokosa Suarez!
 
Ni upuuzi kulilia nafasi moja aliyokosa Dembele na kujisahaulisha nafasi zaidi ya tatu alizokosa Suarez!


Suarez kiwango chake cha sasa ni tiamajitiamaji

Kule upande wa pili wana tisa mbili za nguvu sasa hivi(Benzema&Jovic). Wakati Nou camp Tisa aliepo anazingua tuu
 
Winger EPL akikupa goli 15 huyo ni world class
 
Waungwana tusisahau Lapulga MESSI akiwa Barca ni AK45 akitoka nje ya team hii ni kama fimbo inayotumiwa na mwalimu wa BABY class ,muwe na mapumziko mema
 
Kaka dunia hii ya sasa kipaji hakina maana kama hakikupi mafanikio ya nje na ndani ya eneo husika


Sasa Ronaldo amebebwa na timu ya taifa.sababu Portugal national team ni timu ya taifa la ulaya tofauti na Messi ambae timu yake ni timu ya Developing country unlike CR7 whose national team is of developed country

Licha ya kuwa team yake ni ya nchi inayoendelea bado Messi amepata mafanikio ya kucheza fainali ya Kombe la Dunia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…