Mwekundu sijaona kosa la cot kiufupi team umezingua yote na kocha hana mipango naomba tusimsingizie cot
Ndio mpira unaanza hapaKwaio matokeo ngap ngap
Asante sana tumekupunguzia keleleHizi jamaa huwa zinapiga kelele hapa jukwaani na messi wao mpaka kupitiliza. Safi sana liverpool kwa kupunguza kelele.
Pole Sana mkuu, mlijiamini mnoKama utakuwa na kumbukumbu mechi ya Roma alifanya kama alivyofanya leo mwalimu mzuri anabadilika kulingana na mechi wewe unakuja vile vile rahisi mpinzani wako kukusoma tazama Enrique au gardiola anakuja kulingana na mahitaji ya mechi sio huyu fala anaatumiza kila siku
hahahaha mkuu MP3 matokeo bwanaNdio mpira unaanza hapa
Kocha jana mipango kabisa kiukweli kila siku nalalamika kuhusiana na huyu kocha hatakaa atupe UEFA kamwe naamini iloKama utakuwa na kumbukumbu mechi ya Roma alifanya kama alivyofanya leo mwalimu mzuri anabadilika kulingana na mechi wewe unakuja vile vile rahisi mpinzani wako kukusoma tazama Enrique au gardiola anakuja kulingana na mahitaji ya mechi sio huyu fala anaatumiza kila siku
Liverpool 4 - Barcelona 0Kwaio matokeo ngap ngap
hahahaha kids kabisa mkuu tutakuja kula mchele (kipunga)Siamini macho yangu! Naweza kuzimia hapa
Sio kweli, Messi kajitahidi mno. Wenzie wamemuangusha Sana, anatoa assist wanakosa, kapambana mno. Timu yetu mbovu inamtegemea Messi tu atoe assist, afunge. Goli la nne utamlaumu kocha?Mwekundu sijaona kosa la cot kiufupi team umezingua yote na kocha hana mipango naomba tusimsingizie cot
Mmoja wapo mwalimu msenge yuleFundi Lionel Messi, anakwenda kuikosa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa sababu tu ya wapumbavu wachache.
hahahahaPumbavu kumbe ulikuwa utakuja kupiga kelele kwenye maJukwaa ya wenzio kumbe kwako panaungua
Mbona hukusema first leg mliposhinda 3?Nasema Barca hatuna kocha ila tuna muuza mitumba