anavyocheza Ajax away and home ni vile vile mfuatilie vizuri ndio maana anaweza kufungwa nyumban akashinda ugenini, usitegemee makubwa saana kwa Ajax akiwa nyumbaniWewe nae,mtu kapata goal ugenini,anaamua ku conserve energy for the return encounter-wewe unaona Spurs were good-return leg yaweza kuwa massacre
Sio kwa hiyo Spurs niliyoiona janaanavyocheza Ajax away and home ni vile vile mfuatilie vizuri ndio maana anaweza kufungwa nyumban akashinda ugenini, usitegemee makubwa saana kwa Ajax akiwa nyumbani
Anaepindua ndoto ya barca ni liverpoolMimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Sissoko ni kijana?Mwenzako kasema Team za England hazitendei haki football katoa mfano wa Ajax kupossess game kuliko spurs wakati mchezaji mmoja tu sissoko kawa chafua viungo wote wa Ajax, alipoingia mambo yalibadilika, Ajax wazuri sana ila walizifunga team zilizojaa wazee,walichofanya ni kuwa Press wakakubali wakikutana na vijana wenzao ni wakawaida sana
Bora twende fainal na Ajax kuliko hawa wavunja kuniMimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
mtawapiga kirahisi hao vijana uoga wa bure tu Madrid na Juve waliwa underestimate pia wachezaji wao wamechoka sana ,mechi ya fainali haina majaribio mdogo ni mdogo tuMimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Hahahah naona umeanzia krb kabisaAnaepindua ndoto ya barca ni liverpool
Na utatemeka mpaka matako.Mida inakimbia sana natetemeka miguu utazani mm ndo Pique
Hatutegemei leo tuposess mpira, leo tukipata mpira ni kumwangalia Messi na Coutinho wapo wapi tu.Kikosi hicho wadauView attachment 1085735
Hatutegemei leo tuposess mpira, leo tukipata mpira ni kumwangalia Messi na Coutinho wapo wapi tu.
Barca hawezi kumpiga Liver goli 2, Liver anaondoka na 4 na kuendelea.Inatakiwa tushinde angalau 2 bila
Unarahisisha sana mamboBarca hawezi kumpiga Liver goli 2, Liver anaondoka na 4 na kuendelea.
Kajitahidi saana kapigwa 3.
Safi Sana anaanza mvunja kuni Vidal
Possession iko pale pale-hawa tutawabana kati-Dembele akae standby tukihitaji kuwa stretch aingizwe fastaHatutegemei leo tuposess mpira, leo tukipata mpira ni kumwangalia Messi na Coutinho wapo wapi tu.