UNAPASWA KUSEMA LIGI BORA ZAIDI DUNIANI, SIO LIGI YA TIMU MBILI
Huo utemakuni unatoka wapi...uikumbuke hii post yakoMtakiona cha mtemakuni. Huku salah, huku mane pale firmino
any of 6 lin kawa tottenham,arsenal na liverpoolIn La Liga bingwa ni either Barca au Madrid by default. In EPL any of the top 6 has a chance
AGUEROEPL ligi bora zaidi duniani ujue maana ndo shamba la kuvunia wachezaji huko La liga
Sijawahi kusahau post yangu. Ivo mkivipiga kina gerona ndo mnajiona wababe. Mtaelewa tuHuo utemakuni unatoka wapi...uikumbuke hii post yako
AGUERO
SILVA
CAZORLA
FABREGAS
TORRES
EPL ILIVUNA WAPI? ONGEZEEN KUTAJA
Hahaaaaaaa
taja wa EPL n na sie tuendeleeHii orodha imeisha au bado inaendelea?
taja wa EPL n na sie tuendelee
Rashford hatuko serious na hio takataka endelea kutajaTuanze na huyu anayewapelekesha pamoja na kwamba saiv hayupo La liga
CR7
Beckham
Thiery henry
Bale
Suarez
Kautinyo
Etc etc etcccccc
Anyway muachen rashford hebu ridhikeni na Messi huko
Mkuu umebugiTuanze na huyu anayewapelekesha pamoja na kwamba saiv hayupo La liga
CR7
Beckham
Thiery henry
Bale
Suarez
Kautinyo
Etc etc etcccccc
Anyway muachen rashford hebu ridhikeni na Messi huko
Mkuu umebugi
CR7
Suarez
Bale
Na hao wangine kwani wameanzia EPL?
Ao unakurupuka tuu
Rashford hatuko serious na hio takataka endelea kutaja
De Gea
pedro
Sanchez
Bravo
any of 6 lin kawa tottenham,arsenal na liverpool
punguza bangi
Champions 8 times in 11 yearsView attachment 1083146
Ndio league bora ulaya huu ni mwaka wa 5 mfululizo ,sio kila kinachotangazwa sana ndio kina ubora speaking of EPLKuna udhaifu katika hiyo ligi