Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,420
Barca wana mikakati ya kuachana na Messi bila timu kupata madhara, ndiyo maana Demboz anawekwa benchi bila hata sababu za msingi, akiugua kidogo benchi mpaka apone, the same thing tu Ronaldinho na messi.
Mpango uliopo ni kutawala soka la dunia,huwezi tawala soka la dunia kama hauna talented players. Dembele is among of them kwa sasa.
Kuna wachezaji barca hawatauzwa kamwe ingawa wanaonekana kama wajinga au wazembe vile.
Mfano:
Coutinhi
Dembele
Arthuur
Umtiti
Alena
Tidibo
*Malcom nampa nyota coz barca wanasaka central attackers so anaweza kuwa sucrifice ya deal hilo.
Hawa watu wameletw kuunda barca mpya
Ukimpoteza Dembele leo ni ngumu kumpata tena, ndiyo maana barca wana pay attention sana kuhusu Dembele,
Pale mbele mrithi wa mguu wa messi ni yule, bado hakuna nafasi ya kulia wala kati kurithi.
Uliwakusikia striker bora duniani akawa muingereza? Barca hawaitaji striker bali wanataka striker bora duniani. Sasa huyo dogo anaweza linganishwa na thamani ya Coutinho?
Coutinho yupo barca kwa mipango maalumu na sasa kazi yake bado haijaanza unadhani barca matahira wamuuze Coutinho?
If Barcelona beat Levante this weekend, Arturo Vidal will win his 8th consecutive league title.
Juventus 2011-15
Bayern Munich 2015-18
Barcelona 2018-19
Unbelievable.
Ter stegen hazungumzwi lakini ndio golikipa hatari zaid kwa sasa kwa upande wangu aisee....
Neymar (ex-Barcelona): "I left Barcelona because I wanted a new challenge, the challenge of winning and looking for something new, to find new difficulties, Barça is a club that has always fascinated me, and I still love the club today." [fox sports via sport] https://t.co/6I2IDOMwoO
Kwa hiyo akaona PSG ndio kuna challenge. Kama kweli alitaka challenge angeenda EPL
Au Lyon
At some point, Gary Lineker, the top scorer of Mexico86 was the top striker in the world. And guess which team he played for in Spain?
Ni kipa mzuri sana na anachonifurahisha ni kuwa anajituma sana na hafungwi mabao ya hovyo. Weakness yake ni footwork. Angepata footwork ya yule kipa wa ManCity basi angekuwa a completele shot stopper
Uliwakusikia striker bora duniani akawa muingereza? Barca hawaitaji striker bali wanataka striker bora duniani. Sasa huyo dogo anaweza linganishwa na thamani ya Coutinho?
Coutinho yupo barca kwa mipango maalumu na sasa kazi yake bado haijaanza unadhani barca matahira wamuuze Coutinho?
Hilo swali kamuulize baba yako?Umeanza kuangalia mpira lini?
Hilo swali kamuulize baba yako?
Nilishajua nini ulitaka, kwa hiyo umepataHahaha, we need to know the cutoff before we respond to your QN.
BTW kwa hilo jibu nimeshapata jibu la swali langu.
Thanks.
Chukueni ubingwa kabisa leo ili jumatano mkamchape liverkuku vizuri