FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Umeongea point sana mkuu
 
Jamaa kaja na hoja dhaifu kishenzi sijapata kuona, sasa hapo wanawezakuja mashabiki wa Arsenal nao waseme Messi never score against them on Wembley
 
Tukumbushane
Your browser is not able to display this video.
 
 
Haina haina neno.. 1st may.
 
ivi ndivyo tutakavyomfanya Liverpool, aijalishi tutakuwa Anfield au Camp Nou ..gemu zote ni muhimu kushinda ..Klopp anatakiwa kuendeleza rekodi yake ya kutokubeba kombe lolote lile kwa msimu huu..
 
Iyo haina shaka mzee baba ..hizi kuku ni zakwetu kabisa..
 

Don, Kama ni wazoefu walishindwa nini kuchukuwa makombe miaka yote! ila 2005 tu!!
 
Hahaha mwanang Don nakuambia kombe linabaki Camp Nou ..mzee baba Messi alishapitisha hii kauli, hivyo sisi kama Fans wake hatuna budi kuifuata. Asante kama utakuwa umenielewa.

Kati ya timu nina uhakika Barca anawaza sana ni Liverpool, same same jinsi Liverpool anawaza kuhusu Barca.

Hii game siwezi kuitabiria ushindi mwepesi Liverpool, ni lazima ipigane.

Tutaona itakavyokuwa.
 
Jina la Paco Alcacer na Gerald Deleouf
Mmoja wapo anatakiwa arudi Camp Nou ili kuimarisha attack formula ya Barcelona

Nimewakumbuka kutokana na performance zao kua on fire Watford (EPL) na Buyern leverkusen (Bundesliga)
 
Jaman game kati ya Liverpool na Barcelona n very very tough hakutakua na mteremko,kocha wetu wa barca anahitaji technical approch katk hii game ...maana ujinga mmj pale barca n kwamba Messi akikamatika no one else who can secure the team!!!
 
Mara ya mwisho Captain Andre Iniesta kucheza pale Nou Camp dhidi ya Real Sociedad alimkabidhi rasmi Leonel Messi Armband na kuwa Barcelona Captain.
 
Leo Busquet, na Coutinho wamwanzia bench. Nafasi zao wamechukua Vidal na Dembele. Pia Sergi Roberto nafasi yake kaanza Semedo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…