Kwa kweli Liverpool si wa kuwabeza. Tunahitaji sana U-Ramos against Mane na Salah. We need Suarez na Coutinho pale Anfield in second leg wawe in superior form to dispense The Kopps out.Natamani sana hizi week Mbili huyu valverd amalizane na la liga kazi ibakie UEFA tusiwabeze Liverpool
Pia tunamuhitaji Leo at his best form ikiwezekana apate hata goli 2 au 3 pale camp nou May 1
Sisi sio wa kuropoka ovyo ..Liverpool atapigwa nyingi sana ..tatizo mnataka makombe yote kitu ambacho hakiwezekani.Nasema hivi, hiyo May 1 tutakuja kupiga nyie wahuni, nasema tutapiga mpaka mchakae.
#YNWA
Liverpool tunawala ..Coutihno atamaliza kila kitu ..Kwa kweli Liverpool si wa kuwabeza. Tunahitaji sana U-Ramos against Mane na Salah. We need Suarez na Coutinho pale Anfield in second leg wawe in superior form to dispense The Kopps out.
Robertson na katoto Kenzie sijui watamkaba Messi.Beki ya pique anaweza akaendana na pace ya MANE au BOBBY?achana n SALAH atakayemfanya Alba agande nyuma kama ruba
Sawa mke wetuNasema hivi, hiyo May 1 tutakuja kupiga nyie wahuni, nasema tutapiga mpaka mchakae.
#YNWA
Liverpool tunawala ..Coutihno atamaliza kila kitu ..
Jamaa amehamisha makazi hukuJamaa naona umejichagulia timu ya kukupoza machungu ya Chelsea.
Jamaa amehamisha makazi huku
Wasiwasi wangu mimi upo kwa Mane, yule jamaa anaweza kudribble, labda siku hiyo tumuweke semedo aanze.Liver wanajipa moyo sana wakiamini salah na mane ndio waokozi wao wanashindwa kujua kwamba hao watakabika kirahisi sana maana barca wanakata mawasiliano kati wanyuma nyuma na wambele
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Wasiwasi wangu mimi upo kwa Mane, yule jamaa anaweza kudribble, labda siku hiyo tumuweke semedo aanze.
Shukran bossi
Waache wabwabwaje tuu KING ameshaongea
Hata mani walijisifu kuwatoa juve na psg.. Liva wanajisifia kuwatoa bayern... Bayern iliyojichokea..
Valverde sio mjinga... Anajua ni wachezaji gani wanao faa tactically.. Mambo yatakua sawa mfano mechi ya man tulidefend highline bus as CB tukawa na 3 4 3 man walikoma mbona na uwanja ulitanuka ghafla..
Nyie jamaa mnachekesha, yaani Man Utd mnahesabu mmefunga timu kweli?
Ule ni mkusanyiko wa watu wanaocheza cheza mpira.
Hakuna mshabiki wa Liverpool anayejisifu kuitoa Bayern, Liverpool ni mzoefu UEFA anajua kuitoa timu fulani siyo kigezo cha kuitoa nyingine.
Game vs Barca ni unique game, so itakuwa na approach yake kulingana na mahitaji.
Hata rm ni mzoefu tu
RM ukimaanisha nini?
Barca sio wazoefu.