FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Alisha sema hawezi m risk huyu kama alivyo fanya na lyon.. Reserved kwa mechi ya pili
 
Sina furaha ya kagoli kamoja haka... Waingereza wanachonga sana... Nilitaka wafanyiwe humiliation na ole akome kutembea tembea viwanja vya watu
Hujui kuweka over halafu isitoke inavyouma hahaha yani lawama zote kwa nesi aka mtalii...anatembea tu uwanjani akipiga story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama man u mtaitoa pale spain.....kwa liverpool inabd mjipange zaid. Game ya leo ilibeba tension kubwa sana na limepatikana narrowly goal la kujifunga....yote sawa mana hilo gol limetokana na pressing mliofanya
 
Hivi game plan ya vs liver na Man u inaweza kuwa sawa? Ni timu mbili tofauti zenye wachezaji tofauti so tegemea mipango tofauti
Hata kama man u mtaitoa pale spain.....kwa liverpool inabd mjipange zaid. Game ya leo ilibeba tension kubwa sana na limepatikana narrowly goal la kujifunga....yote sawa mana hilo gol limetokana na pressing mliofanya

Sent Using!! Nokia kitochi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…