Pelle anarecord gan au magoli yake enzi za chandimuKwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Messi dummies bhana,Pele ni zaidi ya magoli.
Hadi sasa hajamzid hta mpinzani wa pele, Muargentina mwenzie maradona.
Some records hazivunjiki
Sent using Brain
Kwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Messi dummies bhana,Pele ni zaidi ya magoli.
Hadi sasa hajamzid hta mpinzani wa pele, Muargentina mwenzie maradona.
Some records hazivunjiki
Sent using Brain
Huyu usipate nae tabu sana tunajua hana marinda amekuja kwa wanaume tumuoneDuh kuna watu mnaujasiri kupita kiasi
Idiot..20 years to come mpira wa sasa utaitwa mpira wa vichochoroni..wajukuu au watoto wako watakwambia magoli ya andunje hata hayakupita kweny VAR na sheria mpya kbao znakazotungwa,time ina change vitu lakini KAMWE haibadili ukweli.Acha kumfananisha King original na vitu vya kipumbavu....huyo pele wako wameplus na magoli ya vichochoroni. Na wakati huo hakukuwa na offside na sheria kibao hazikuwepo. Tena hakucheza ligi kubwa...na tim yake ni santos na new york cosmos...
huyo babu yako mwenye wivu na maneno mengi yasiyokuwa na maana angecheza wakati huu wa Messi asingeonekana hata kidogo. Na yeye analijuwa hilo.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu...Huyu usipate nae tabu sana tunajua hana marinda amekuja kwa wanaume tumuone
Huyu akipiga chafya vinatoka vyote in one direction
Ndio hiyo siku alitaja best players wake watano ukimuexclude Yeye na Nado?
Idiot..20 years to come mpira wa sasa utaitwa mpira wa vichochoroni..wajukuu au watoto wako watakwambia magoli ya andunje hata hayakupita kweny VAR na sheria mpya kbao znakazotungwa,time ina change vitu lakini KAMWE haibadili ukweli.
PELE the best of the best,ulkua katoto sana au ukkua hajazaliwa live with it,
Kuna watu km Franz Beckenbauer,Johan Cruyff hukuwaona lbda viclip vya youtube tu.
Pele is not only the best and great if all time but also Pele is quite possibly the greatest sportsperson of all time.
Sent using Brain
Ah ah ah pathetic.unadhani wote humu watoto wenzioWewe ulikuwepo enzi za akina pele, Alfredo de stefano, johan cruiff n.k? Isijekuwa nabishana na mtoto....
Nimegundua kinachokusumbua ni chuki na wala si kingine....so angalia tu usije ukajinyonga sababu ya King Messi.
Ah ah ah pathetic.unadhani wote humu watoto wenzio
Sent using Brain
Ah ah ah pathetic.unadhani wote humu watoto wenzio
Sent using Brain
Ah ah ah messi minions bhana,haya kapekua ten rekodi inayoku favour.
Source mkuu mbona nmepitia kwenye source za uhakika cjaionaWiki sita njeView attachment 1059854
Wiki sita njeView attachment 1059854
Messi ana pubiss injury tangu Desemba.. Can u imagine?
Juzi katupia mbili ksenye derby, na tunakuja old Trafford tunawatia 3 bila na injury yetu.. Mtatapatapa sana, sisi ni ushindi tu
Sent by anonymous user
Umeandika kinyonge mwenyewe
13SEPTEMBER