FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

BEST IS CR7,ALL TIME GOAT IS PELE

Sent using Brain
 
Jana naangalia mpira mim binafsi namkubari messi, wakati wa kupga faulo goal la kwanza jamaa nilie kaa naye akasema anapata, nikamwambia akikosa bhat mbya.. Mara vuu kitu!


wakati ukuta.
Namuomba mungu human cloning ifanyike uyu mtu arudi tena kwenye soka maana umri unamuacha Dah!
 
Bangi bila sigara kali madhara yake ndyo kama haya
Ndo muache kuvuta sasa, mmekaa kusfia sfia maea freekick mara penalt utafikir mazombie,hana jipya atabaki wa 2 kwa sasa,ila muda wake kutamba,cr7 kamuachia ligi kabaki alone hata yeye mwnywe kasema kammiss

Sent using Brain
 
Hahah obvious
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…