FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Klop wamempa tim laini sana kamanda wangu,

Kuhusu Man u, mtapigwa kote kote IN and OUT, hili halina ubishi....tena nitaifufua comment yako pls usiidelete tu!!!
 

Al assad, Mpila=Mpira
 
Tim ambayo naipa nafasi kubwa ya kukutana na Barca in the final ni City....wengine wakafie mbele....
Umejuaje? Maana kila mtu anasema juve atakutana na city. Yaani tayari nusu fainali inajulikana. Na wewe kumbe unajua mpaka final, wewe ndie unaejua mpira
 
Kila team ilitamani sana wapangiwe eiza manu ama porto.
 
Klop wamempa tim laini sana kamanda wangu,

Kuhusu Man u, mtapigwa kote kote IN and OUT, hili halina ubishi....tena nitaifufua comment yako pls usiidelete tu!!!
Ndo hicho nilichokuwa namaanisha.
Man U na Porto ndio the weakiest clup kwenye hii last 8. Yaani kila timu zilitamani sana zipangiwe hao. Baati nzuri ikaangukia kwa liver na barca.
 
Mkuu keep your expectations low, and enjoy the game,
Hawa barca sio mchezo.

Sent using simu mbovu
 
Nani ana mpira wa mdomoni sio nyie manure.. nyie kila gemu kwa kuobgea huwa mnashinda ...kwa jinsi mnavyoichukia barca ndo mtazidi kuichukia zaidi ..

Uefa wana roho ngumu sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…