King katupia ngap mzee babaAya nadhani niliposema watoto wataloa goli tano tumeelewana
Aya mchawi wa simbawanga narudi zangu kwangu
Game over
Mawili tu,tena mojawapo la penalt
Vitu ambayo Messi anavifanya siyo vya kawaida leo kahusika kwenye magoli 4
Nadhani si habari kwa vile ni G. O. A. T, King
Sent using Jamii Forums mobile app
Next time soma alaafu pita kimyakimya-ku analyse soccer tuachie sisiunafunga hatrick kwenye group stages huo ni ufujaji wa nguvu angefunga mechi ya roma wakaenda semi Final, Messi ajifunze kwa mwenzake kufunga mechi zinazovusha Team na ninawaambia kwenye soka la ulaya barca ni Team ndogo
Two goals & two assists. Kwa lugha nyepesi kahusika kwa magoli manne. Yule bishoo wa juve hakupiga penalt sio?Mawili tu,tena mojawapo la penalt
Huyu Messi ni mchawi, hivi hizi angle impossible za kupasia anazionaje?
Yule beki pale lazima kajipiga screenshot-yaani kajamba na kupiga chafya in one motionHiki kiumbe hakielezeki, goli la pili yule beki sijui kama hakumvunja kiuno 😀😀😀
@Numbisa naomba utupie goli la pili la King wa dunia
Next time soma alaafu pita kimyakimya-ku analyse soccer tuachie sisi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule beki pale lazima kajipiga screenshot-yaani kajamba na kupiga chafya in one motion
Yule beki pale lazima kajipiga screenshot-yaani kajamba na kupiga chafya in one motion
Yule beki pale lazima kajipiga screenshot-yaani kajamba na kupiga chafya in one motion