Sasa Mkuu unatazama msimu wa kwanza, vipi kuhusu Suarez msimu wake wa kwanza? Ukizungumzia left wing kwa timu kama Barca ukaweka Dembele na Neymar huwezi ukasema Dembele yupo vyema.mzee acha mapenzi binafsi.
twende qa takwimu. ivi unajua dembele ndani ya msimu wake wa kwanza kafanya mambo makubwa(magoli na asist) kuliko naymar msimu wake wa kwanza???
Sent using Jamii Forums mobile app
mapenz binafsi yanakuathiri.Sasa Mkuu unatazama msimu wa kwanza, vipi kuhusu Suarez msimu wake wa kwanza? Ukizungumzia left wing kwa timu kama Barca ukaweka Dembele na Neymar huwezi ukasema Dembele yupo vyema.
Tazama Messi kipindi akiwa majeruhi kisha tazama Neymar alivyokuwa akiokoa jahazi, aliwahi kusaidia timu ikailaza Madrid 4 kama sio 3 pale Bernabeu.
Kumbuka matokeo ya Barca na PSG 6-1, kumbuka Game ya Barca na Bayern n.k Neymar ni mwepesi sana na ni mzuri ktk ufungaji, ata kama beki zikajipanga kwa namna gani anaweza akaamua alazimishe apite hapohapo kama Messi, hii ni tofauti Dembele.
Kwa kumalizia ni kuwa, hivi unadhani klabu zote hizo ulaya kutangaza Dau kubwa kwa Neymar unadhani wao hawana akili, sisi tunaufahamu mpira kuliko Guardiola, Perez n.k?
Dah, yaani sijui niongee kwa namna gani niweze kuongeleka.mapenz binafsi yanakuathiri.
yan unangalia mech moja na psg and coment yako hujsongea point yoyote.
sikia dembele anaweza akatumia kweny mifumo ming, msimu huu huu mwa huu hu kuna mech segio robeto aliumia alikua full bek kulia iyo mech, baada ya kumia dembele alishuka chini alicheza kama full bek muongo muongo na alifanya vzr. so unagundua kua dembele anaweza kukupa ofa nyingi kuliko naymar
Sent using Jamii Forums mobile app
baba naymar qa dembele qa sasa ivi naymar anajina kubwa tu kuliko dembele na sio uwezo.Dah, yaani sijui niongee kwa namna gani niweze kuongeleka.
Narudia kukwambia ya kuwa, kama tunazungumzia Left Wing ktk Ulimwengu wa sasa na kwa timu tuliyonayo, hakuna mtu anayetufaa kama Neymar, Neymar kacheza Barca na sote tumemuona kuanzia Game za kwanza mpaka anaondoka.
Neymar hakuwa kuwa na mashaka juu ya namba yake pale Barca, hili ulikumbuke, ila Dembele kuna muda anapokezana na Coutinho na hana namba ya kudumu, muda mwingine mara akae kushoto mara akae kulia ila Neymar alikuwa anakaa kushoto.
1. Kwa kutumia akili ya kawaida, ubongo wako uchakachue, Neymar aje Barca leo hii, Dembele atapata namba na Neymar atakaa benchi?
2. Man U, Real Madrid, Man City wapo tayari kuvunja rekodi kwa ajili ya kumsajili Neymar, why not dembele?
[emoji3] Wewe sio fan bana, ungekua fan sugu ungeelewa hata vitu vidogo.wakuu kwa sasa siifaamu Sana Barca ingawa Mimi ni fan wa Catalonia hivyo naomba unifahamishe vizuri squad inayotangaza vita kwenye kila gemu tunayocheza.
Ukiachana na King Messi, Suarez, Dembele, Rakitic, Arthur... kwenye first XI kuna nani wengine tena? Substitution ya Barça kuna nani na nani..
Mimi ni fan sugu wa Catalonia kitambo sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa uingereza timu nyingi zinasuasua uko.. Mf Manure, Spurs...[emoji3] Wewe sio fan bana, ungekua fan sugu ungeelewa hata vitu vidogo.
Ngoja niangalie ni timu gani inayosuasua england utakua unatokea huko.
Sent using simu mbovu
Naona umeamua kuja kupunguza stress huku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa uingereza timu nyingi zinasuasua uko.. Mf Manure, Spurs...
Apa chama ni The Blues King of London, maybe Barca King of Catalonia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Dembele?Official picture for 2018/19
Proud of Barcelona [emoji123] View attachment 1043308
Sent using Unknown device
Kama kuna uwezekano wa Suarez kupewa nauli basi apewe akasalimie ndugu zake Uruguay, maana tunataka kufanya kazi kweli kweliMatch dhidi ya olimpique Lyon,Coutinho analazika kua key player
Ili tushinde kirahisi wachezaji wafuatao tukiachilia mbali juhudi binafsi za Messi wanatakiwa wewe instrumental na kuonyesha efforts zaidi ya wengine
1.Sergio Roberto -hapa nitaizungumzia character yake ya Lamasia ya kupita na mipira either right flank au katikati ya dimba kutokea kulia -nazungumzia he is a good passer na mshehereshaji
2.Coutinho- kama akishindwa kabisa kupiga mashuti upande wake atalazimika awe anatoa mipira ya kuingia katikati .
Kuna tendency siku hizi kama Jordi Alba hajapanda juu, mipira inaishia kwa Coutinho which is not good inavuruga mipango ya ku attack (mtakubaliana na mimi hadi Neymar anaondoka left flank ndio tunaanzisha mashambulizi Mara nyingi)
3.ikishindika Coutinho,o Rakitic atalazimika kuubeba mzigo
It is either awe anaenda kusaidia left flank au right flank kuleta balance wakati wa ku attack (so this is the most important player kwenye game ya kesho for me)
4.We need to exploit opportunities effectively and efficiently
Nature ya Lyon ni kukaba nimeiona hadi wakiwa kwao walikua wanafanya nini so defence compactness is expected ,tutahitaji watu wa hold mipira na muda mwingine kupenya ukuta wao kupitia katikati hizi ni kazi za Busquets na Arthur Mello
5.Arthur Mello na Busquets watalazimika wewe wanapiga sana advancing ,penetrating balls ,chance za back passing hatutazifagilia
6.Semedo na Umtiti watasaidia sana ku tackle na kupunguza mashambulizi ya haraka yanapokuja upande wetu so ni better wakianza
Ni hayo tu ,tutashinda tena kwa kishindo tukizingatia game Creativity
Match dhidi ya olimpique Lyon,Coutinho analazika kua key player