Basquets anaweza kumuweka bench huyu
Naona kbsa replacement ya SergioBasquets anaweza kumuweka bench huyu
Hujanielewa-huyu jong anaweza kaa bench-mfumo unaweza kumsumbua kama coutinho
Naona wachezaji wetu bado wanatamba kwenye uwanja wetu wa mazoeziWqzer leo nimeliamishia shangwa kwenye uzi wa madridiot....
Nasapoti mchezaji wetu De jong
Sent using Unknown device
Naona wachezaji wetu bado wanatamba kwenye uwanja wetu wa mazoezi
True that bro.....Hawa walevi walitakiwa kutoka tangu 1st leg bahati yao walibebwa na penati za magumashi.... KARMA
Sent using Unknown device
Huyu labda kocha awe primitive, kwa jinsi dg anavyojua kucheza sioni sababu ya mfumo kumshinda, nampenda anavyojua kunusa hatari kama Sergio . tusuburi tuona lakiniHujanielewa-huyu jong anaweza kaa bench-mfumo unaweza kumsumbua kama coutinho
kwani ulijua kwamba Coutinho ata struggle? mfumo wa Barca unaweza mfanya star awe average playerHuyu labda kocha awe primitive, kwa jinsi dg anavyojua kucheza sioni sababu ya mfumo kumshinda, nampenda anavyojua kunusa hatari kama Sergio . tusuburi tuona lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee yale majamaa ya kwenye uwanja wetu wa matizi yamechapwa??
Dejong kitacho mfavour stayle ya ajax na barca havipishani na dogo ni Kama copy ya busquet Vila anajiamini SanaKuna kitu nime observe over the past year or two-big name players coming to Barca transition yao to the Barca mode of play inakuwa ngumu- those with no names easily slot in players like Umtiti,lenglet,Arthur,Semedo hawa you would think have been around for years