Mkuu, Neymar namba nyingine, misimu yake ya mwisho pale Camp Nou mpira ulimkubali mno.Kwangu mimi Dembele iz better than neimar...neimar utoto mwingi na kujiangusha, dembele anachokosea kitu kimoja tu pale mbele, chenga nyingi hatoi pasi hadi ananyang'anywa mpira...
Mkuu, Neymar namba nyingine, misimu yake ya mwisho pale Camp Nou mpira ulimkubali mno.
Mfano sasa hivi tukawa na watu watatu mbele, Dembele kulia, Messi kati na Neymar kushoto, hii ni hatari kwa timu pinzani.
Suarez tuanze kutafuta mbadala wake.

Dogo anatamani sana kurudi sema na sisi tumegawanyika, kuna wanao mtaka arudi na wengine hawataki arudi..
Na umesikia masharti ma5 aliyowapa RM kama wakimtaka?
Sent using Unknown device
Hivi lewandowsky umri unasomaje?Suarez kiwango chake kimeshuka sana, ningefurahi kuona kati ya hawa.. Lcardi, Mbappe, Cavanni or Lewandowsky....
Sijasikia Mkuu, embu nidokeze.Dogo anatamani sana kurudi sema na sisi tumegawanyika, kuna wanao mtaka arudi na wengine hawataki arudi..
Na umesikia masharti ma5 aliyowapa RM kama wakimtaka?
Sent using Unknown device