Barca was sh**t bila nguvu binafsi Barca ingekuwa imelala 2-0. Tukubali individual capacity ina nafasi yake kwenye timu ndio maana kuna wachezaji huwa ni super sub kama kina Vitolo,Cutrone,pulisic n.k maana timu zinahitaji nguvi binafsi za hao watu ili ipate ushindi.