Sergio Busquets hajaanza kwa sababu he catched fever so hayuko 100% fit
Twende kazi So Pisterero kama mnakumbuka alikua mapumziko so silaha yake Leo baada ya kuiosha anakuja kuijaribia
Naona technical director wa Barça amechoka Kazi. Yaani wanataka kumtoa Malcom plus fedha kwa ajili ya William aliyechoka huko Chelsea. Juzi hapa wamemleta Beki naye haeleweki. Aina ya wachezaji Barça inawasajili kwa sasa viwango vyao Vipo chini Sana