PHILIP COUTINHO ANA SUFFER WAKATI DEMBELE ANA IMPROVE:
Wadau niaje...nilikua kimya jukwaani lakini hamna match ya chama nimeacha kuangalia
Kwa ufupi Coutinho ule moto alikuja nao last season January 2018-19 umepungua nadhani hata vyombo cha habari vya Catalonia imebidi tu kuvizima midomo na pia ukiangalia (very important) personality yake ni humble person otherwise angekua mtu kama sio wa principle angekua anaandikiwa headlines mbaya kila siku
Huu ukweli hadi Velverde anaujua na ana respond kwa kumpunguzia dakika kitu ambacho mimi naona kitazidi kumuharibu zaidi kisaikolojia na kupunguza confidence yake
Utajuaje Cot amepungua kiwango?look at his qualities WC na Liverpool...anapiga mashuti makali (offensive attacking) ,anakimbia na mipira na kupiga crosses kutokea kushoto...,ana uwezo mkubwa wa ku possess mipira na kupiga assist akiwa katikati ya dimba na upande wa kushoto(ukichunguza hizo qualities Cot amezipunguza) me professionally sijui why?amekua butu ,hatoi assist hadi aje Jordi Alba upande wa kushoto ndio kunakua sharpened
Ushauri wangu Velverde ambadilishie majukumu awe free player left wing cos namuona anarudi sana kukaba tukiwa hatuna mipira
Meanwhile...undomittable guy ,toto tundu Dembele...amekua ni kifuta machozi. Uwezo wake wa speed,dribbling ,kupiga high range penetrating passes (crosses) especially anapopangwa right side ni noma especially anakua very dangerous kwenye 18 za opponent
Ushauri wangu Barcelona management wasimchulie serious sana ,wamlee tu kama mtoto..ingawa ki displine kuchelewa mazoezi mara kwa mara kunaleta ukakasi
Tchao....
Juan Unzue anajua tutamfanya nini ndani dakika chache zijazo .Velverde style inapenda sana team zinazocheza high pressing bila ku defend deep ,my prediction Barcelona 4-Celta Virgo 1