Umtiti akiwepo kule nyuma mambo yanaenda sawa kabisa tofauti na asipokuwepoUmtiti aliumia jana goti mazoezini. Hivi wakuu magoli mengi tunayopigwa ni kwamba Lenglet ameshindwa kuvàa viatu vya Umtiti?
Ndiyooo..... Kumbe hukufahamu??Mkuu kumbe ni mdau wa Barca?
Sikufahamu bro, ila nimefurahi kuona tupo pamoja hukuNdiyooo..... Kumbe hukufahamu??
Huku pamoja sana2 Mkuu.... Japo Epl ndo tumepishana....Sikufahamu bro, ila nimefurahi kuona tupo pamoja huku
Sio mbaya mkuu kwakua soccer la kweli lipo huku basi hakiharibiki kituHuku pamoja sana2 Mkuu.... Japo Epl ndo tumepishana....
Sio mbaya mkuu kwakua soccer la kweli lipo huku basi hakiharibiki kitu
Terminator
View attachment 949825
Wakuu tumeona kilichotokea, sawa tumeshinda lakini
Tumepata tabu sanaaaa
tumeburuzwa sanaaaa
Tumeteseka sanaaaa
Big Up kwa Vidal jamaa ni mtu kapiga kazi sanaaaa, Mess kafunga goal katika mazingira ya kutatanisha sanaaa, Denis anasugua bench mpaka anasahau mpira unachezwa vipi
Sio pumzi tu hadi maarifa mkuuKipindi cha mwishoni walitukamia sana hadi pumzi zikatuishia 😀
Hakika ndugu naamini sote tuliona na tulikua tunaomba ata mvua kubwa inyeeshe kwenye Dk za 75+ ili game iharibikeeti hadi maarifa....
Ni kweli aliumia wakati wa game na Atletico. Anahitaji kufanyiwa operation Mkuu.Kama ni kweli basi jamaa ana bahati mbaya sana
Mungu amfanyie wepesi apone harakaNi kweli aliumia wakati wa game na Atletico. Anahitaji kufanyiwa operation Mkuu.
Kweli madogo walikamia sana lala salama mpaka tukaanza kucheza ovyo duh!!!Hakika ndugu naamini sote tuliona na tulikua tunaomba ata mvua kubwa inyeeshe kwenye Dk za 75+ ili game iharibike
😀
AminaMungu amfanyie wepesi apone haraka
Tulipoteza mipira sana tena eneo la hatari....Kweli madogo walikamia sana lala salama mpaka tukaanza kucheza ovyo duh!!!
Sijui nini shida maana siku hizi sisi ndio tumekua watu wa kutafuta droo au tukishinda tunashinda kimazabe mazabe tuKweli madogo walikamia sana lala salama mpaka tukaanza kucheza ovyo duh!!!
Huku kuruhusu magoli hasa mwanzoni mwanzoni mm sikupendi.... Unakuta baadaye mnakumbana na milima miwili, ku-equaliser na kutafuta ushindi... Halafu kama madogo wanakamia ndo mambo yanakuwa ovyo zaidi...Sijui nini shida maana siku hizi sisi ndio tumekua watu wa kutafuta droo au tukishinda tunashinda kimazabe mazabe tu
Kweli cleansheet imekua ni msamiati ambao ata tumesahau maana yake ni nini sasaHuku kuruhusu magoli hasa mwanzoni mwanzoni mm sikupendi.... Unakuta baadaye mnakumbana na milima miwili, ku-equaliser na kutafuta ushindi... Halafu kama madogo wanakamia ndo mambo yanakuwa ovyo zaidi...
I don't know how many cleansheets do we have this season...