Romantic football!
As if tuko training. Leo Coutinho kuna vitu anafanya pale kati mpaka roho inasuuzika!
Dembele anakomaa sana kuwapunguza wakati jamaa wamejaa nyuma. Anatakiwa aguse na kuachia tu!
Kama hali ikiendelea hivi, basi semedo amreplace dembele, then tuendelee kuangalia playstation football.
Ni moja kati ya zile mechi ambazo hata usipofunga bado unakua umepata burudani.
Naliona goli na Suarez hapo second half!