Inter milano msiba kwa mara nyngne
Namuona dembele akiwaemesha inter uku coutinho akiwa na kaz yake moja tu kuakikisha mipira yote inafikia kwake na yeye ndio supplier mkubwa(kaz ya messi )
Alba & s.roberto
nazan tumeelewana
Suarez game ikimkataa atolewe mara moja