Hii game ya kushinda kweli lakini bila kufanya jitihada tutaishia kutoa sale, jamaa wanatukabia juu sana inakua ngumu kuutoa mpira kwenye zone yetu, pia tukifanikiwa kufika kwao mipango inakua butu sana.....

Coutinho is not playing in his maximum level, he has to be substituted. Upande wao ule wanapoteza mipira mingi mno plus changamoto za kutokuwa clinical kwenye finishing hili linaweza pelekea hii gemu kuwa ngumu zaidi kwetu.