Jumapili ilkuwa tamu sana, na utamu huu ulizidi baada ya Luis Suarez kuondoka na mpira, maana Perez alishawahi sema asengemnunua Suarez coz alikuwa na uzito mkubwa kipindi anasajiliwa kuja Barcelona. Lakini toka afike pale Camp Nou amekuwa mwiba mkali kwa Madrid, amekuwa akiwapindua anavyotaka.